Ballon d'Or wabadili gia angani baada ya Cristiano Ronaldo kuongoza kwa idadi ya kura kwenye B.O.A.T

Ballon d'Or wabadili gia angani baada ya Cristiano Ronaldo kuongoza kwa idadi ya kura kwenye B.O.A.T

Hakuna kama C.Ronaldo

C7 ni definition ya nidhamu ya hali ya juu

Ni Waambie kweli waumini.. Laiti kama mafarisayo na masudukayo kwenye maisha yao wangejua nini maana ya rehema Yesu asingekuwa habari ya mjini na asingejulikana

Kanuni zinathawabisha kwa ubora

Mesi anaishi kwa huruma za rehema za mpira zisizohitaji jitihada nyingi bali zinahesabiwa haki

C. Ronaldo ni jini la Mpira takataka ziwe na adabu
 
Hakuna kama C.Ronaldo

C7 ni definition ya nidhamu ya hali ya juu

Ni Waambie kweli waumini.. Laiti kama mafarisayo na masudukayo kwenye maisha yao wangejua nini maana ya rehema Yesu asingekuwa habari ya mjini na asingejulikana

Kanuni zinathawabisha kwa ubora

Mesi anaishi kwa huruma za rehema za mpira zisizohitaji jitihada nyingi bali zinahesabiwa haki

C. Ronaldo ni jini la Mpira takataka ziwe na adabu
 
Hizo Polimilai zenu tumezizoea sana na sasa tumeanza utaratibu wa ku expose moja baada ya nyingine.

Mlianza kwa kusema Messi ni humble na kwamba jamaa sio mtu wa kujikweza kama Ronaldo anavyojitaja yeye kuwa ni bora.

Messi mwenyewe kwa kinywa chake aliwahi kuhojiwa na jarida la Papermag kuhusu ishu ya GOAT akasema "I don't consider myself the best, I think I am just another player,"

Miezi kadhaa mbele kupita akaja na hii
View attachment 3697061

Kama haitoshi kuonesha alikuwa serious na alimaanisha, wiki chache zilizopita akaja na hii.
View attachment 3697066

Halafu leo unasema mashabiki wa Messi wala hamuhangaiki na hayo mambo.

Kwenye mechi ya farewell mashabiki wa Messi ambao wewe umesema hawangaiki na hayo mambo walikuja na hili bango. Maan yake "Ronaldo ni mkristo wakati Messi ni Mungu"
View attachment 3697068

Lakini alichokuja kujibu Ronaldo ni hiki

View attachment 3697069

Huyu Ronaldo ambaye media zimekuwa zikataka awe portrayed kama mtu mbaya ndio amekuwa akijitokeza kumpa faraja Messi pale ambapo ana feel lowest of his low.

Hata pale ambapo Messi alifiwa na Baba yake mzazi, Ronaldo hakubaki nyuma
View attachment 3697070

Lakini huyu mchezaji mwenye sifa ya humbleness hata siku moja hajawahi kushea hisia zake kwa kum comfort mwenzake katika nyakati ngumu anazopitia.

Ronaldo hajaanza leo, hata kile kipindi ambacho Messi anatangaza kustaafu kwa mara ya kwanza 2016 baada ya kukosa penalti kwenye fainali
View attachment 3697078

Ronaldo alisimama naye na kumpa moyo kuwa bado timu inamuhitaji asikubali kustaafu.

View attachment 3697076


Lakini Ronaldo huyo huyo akikosoa kitu hata kwa hoja ambayo ni ya kweli amekuwa akihukumiwa kwa kusema jamaa anajiona mkubwa, ana ego.

Messi aliwahi kusema Copa America ni mashindano ambayo yamekuwa rigged ili kuipendelea Brazil

View attachment 3697081

Kama tukiwa fair bila bias, zile tabia mbaya zote anazotajwa Ronaldo kama mbinafsi, mwenye ego, mjivuni, asiyekubali kushindwa ambaye anaziita tuzo za Ballon d'Or zimekosa credibility baada ya kuona Messi kachukua nyingi. Utagundua sifa hizo na hizi kauli zina mlenga Messi kwenye mambo mengi kupitia references chache nilizoweka hapo juu.
Sema mkuu, ukiianzisha jarida lako la kumponda Messi na kumtetea Ronaldo utapiga sana pesa.
 
The selfish Ronaldo's handing over his MOTM award to his teammate Abdullah Al-Hamdan

What a selfish player.
1792777605342.png
 
Sasa kama hao mamilioni ya washabiki wana akili kama za machawa wa CCM, unaona ni kura za watu wenye akili?
Mfumo upi kwako ni mzuri wa upigaji kura

Huu ambao uko transparent unaruhusu kila mtu apige kura, na mfumo ambao umechagua baadhi ya watu wawe wawakilishi wa mamilioni ya watu.

Ambao hao wawakilishi hawajachaguliwa na hawa watu wengi?
 
Mfumo upi kwako ni mzuri wa upigaji kura

Huu ambao uko transparent unaruhusu kila mtu apige kura, na mfumo ambao umechagua baadhi ya watu wawe wawakilishi wa mamilioni ya watu.

Ambao hao wawakilishi hawajachaguliwa na hawa watu wengi?
Unapambana sana.

Ronaldo akufikirie tu kwa kweli.
 
Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time)
View attachment 3696822

Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili.

Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu mzuri katika carrier yake ya Ballon d'Or.

Na ili uweze kupiga kura unatakiwa uchangie kiasi cha EURO 1 sawa na Shilingi 3,000 za kitanzania.

Siku za mwanzoni Cristiano Ronaldo aliongoza kwa 73% huku Messi akiwa na asilimia 9.

View attachment 3696820
Baada ya hapo Ballon d'Or wakapost katika ukurasa wao wa X kuwaamsha mashabiki wapige kura.
View attachment 3696826

Mpaka kufikia jana Cristiano Ronaldo alikuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60.

Lakini jana Ballon d'Or wamekuja kutushtukiza na taarifa mpya kuwa hakutakuwa na tuzo physically atayopewa mshindi wa hiyo tuzo ya B.O.A.T (Ballon d'Or of all time)

Ballon d'Or wanasema hii itakuwa tu for fun, licha ya watu kutumia pesa zao lakini maamuzi ya mwisho ndio hayo.

Cristiano Ronaldo aliwahi kusema tuzo za Ballon d'Or zimepoteza credibility, watu wengi walijitokeza na kumpinga.

Lakini kilichotokea kwenye hizi polls walizoandaa kinathibitisha kuwa Ballon d'Or has lost the credibility.
Mh! dunia imeisha! Kwahiyo utapeli ni dunia nzima. Sasa hapa Waafrika wataiga huu utapeli
 
Kura zilizopigwa ni laki moja na sabini hivi. Viewers ni 1.3M ndio uone kuwa ni ujinga ujinga.
Toa hiyo avatar inakuongezea gundu.

Tofautisha kati ya Viewers na views

Halafu hydroxo umeona CCM wanavyompigania Messi?
 
Messi ni chaguo la mfumo, Ronaldo ni chaguo la watu.

Ndio maana influence ya Ronaldo ni kubwa na unaiona hata katika maisha ya kawaida.
Lionel Messi anabeba tuzo nyingine iitwayo 'The Royal Nobel Prize' kutoka familia ya kifalme ya Hispania. Hakuna mchezaji alishatunukiwa tuzo hiyo, Messi anakuwa wa kwanza kuibeba. Endelea kupata stress na Ronaldo wako.
 
Lionel Messi anabeba tuzo nyingine iitwayo 'The Royal Nobel Prize' kutoka familia ya kifalme ya Hispania. Hakuna mchezaji alishatunukiwa tuzo hiyo, Messi anakuwa wa kwanza kuibeba. Endelea kupata stress na Ronaldo wako.
Ronaldo alibeba tuzo ya Puskas, na Player of the century ambazo Messi hajui hata harufu zake.

Na zote hizo alistahili achana na hizo tuzo za kifamilia.
 
Kama Kombe la Dunia lingekuwa linapatikana kwa kura za mashabiki, Ronaldo angekuwa nayo mengi sana.

Licha ya Messi kutowekeza juhudi nyingi mitandaoni, amekuwa mtu wa pili mwenye followers wengi Instagram. Vipi kama angewekeza juhudi nyingi kama anavyofanya Ronaldo?

Licha ya Ronaldo kuwa na followers wengi, inakuaje Messi ndiye mwenye post zenye engagement nyingi kuliko Ronaldo?.

Kitu pekee ambacho Ronaldo anamzidi Messi uwanjani ni uwezo wake wa kipekee wa kufunga magoli ya Bluetooth. Bahati mbaya, teknolojia ya FIFA bado iko nyuma kiasi cha kutotambua magoli ya aina hiyo.
 

Ronaldo akiwa nyumbani kwa Piers Morgan baada ya kisikia Ballon d'Or wamebadili kauli
 
Hatimaye Ballon d'Or wametangaza mshindi wa tuzo ya B.O.A.T japo alikwisha julikana mapema.

Mshindi ni yule yule ambaye Ulimwengu unamchagua.

Si mwingine bali ni Cristiano Do Santos Aveiro Ronaldo

FB_IMG_1793215009873.jpg
 
Back
Top Bottom