Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
tuliza mihemko nonsense gentleman,Acha kuwashwawashwa! Aliwe mwingine ukojoe wewe!! CDM haikuhusu
vyama vyote vya siasa ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria

Acha unafiki kanyeyera wewe!! Kama ni vya wote kwann adui no moja wa CCM ni CDM!!tuliza mihemko nonsense gentleman,
vyama vyote vya siasa ni mali ya umma kwa mujibu wa sheria
adui ni wewe lofa usielewa mambo haya ya siasa kisheria gentlemanAcha unafiki kanyeyera wewe!! Kama ni vya wote kwann adui no moja wa CCM ni CDM!!
Je huyo unayempigania amewahi kuomba kurudi Chadema?
Arudi tuu!Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Mfukuze kwanza simai!Mfukuzeni Erythrocyte chamani.
Mimi binafsi nitamtenga mileleNa bado. Utajua hujui.
Nakuunga mkono, Halima arudi, nimechelewa kupiga kura, zoezi limeisha fungwa ila lakini naunga mkono hili ni jembe kweli, kilichotokea ni mwenda tezi na homo tuu, marejeo ngamani.Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Ni kweli kumekucha Tetesi: - Good News!. Yule Shujaa Mwanamke wa Shoka, Shupavu, Chuma na Shujaa wa Chadema, Kamanda Halima Mdee, is Back Ndani ya Nyumba!.Hehee! Kumekucha na Makucha yake.