Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 681
- 923
Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday).
Kwendrajiepushe na makundi
Sio maandamano bali ni mazoezi. Wanaweza pia kushirikisha polisi kwa usalama zaidi na pia Redcross.jiepushe na makundi
100%✔️jiepushe na makundi
epuka mkumbo penda nchi yakoSio maandamano bali ni mazoezi. Wanaweza pia kushirikisha polisi kwa usalama zaidi na pia Redcross.
Now days kila kitu mnawaza nini sijuiepuka mkumbo penda nchi yako
AISEE mnauchafua huu uzi sasa lengo ni mazoezi siyo hayo yenuFree Lissu!
Kumtetea mtu ni kuchafua uzi?AISEE mnauchafua huu uzi sasa lengo ni mazoezi siyo hayo yenu
Dah! Inanikumbusha takriban miaka ishirini na tano iliyopita kulikuwa na klabu ya watu influential Arusha pale AICC Kijenge ikiongozwa na hayati Dr Makange.Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday). Lengo letu kuu ni kuweka mwili sawa, kuongeza stamina, kupunguza uzito, kuimarisha afya ya moyo na kuondoa stress ya maisha ya kila siku, kwa wale wote waliopo Arusha kama mpo humu watakaopenda.
Tutafanya nini?
Kutembea kwa pamoja katika maeneo mazuri ya Arusha (kama karibu na mbuga, barabara tulivu, au maeneo ya asili au sehemu yoyote itakayo pendekezwa
Kuongeza polepole umbali na kasi ili kila mtu aweze kushiriki (wapya na wazoefu).
Kushiriki mazungumzo, kushiriki vidokezo vya afya, na kujenga urafiki mpya.
Wakati mwingine tutaongeza mazoezi mepesi kama stretching au breathing exercises.
Faida za kujiunga:
Mwili utakuwa mwepesi na wenye nguvu
Utapata usingizi mzuri na akili tulivu
Utapunguza hatari za magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
Utapata marafiki wapya wenye nia moja ya afya
Muda:
Asubuhi mapema (tutakubaliana muda wa kukutana kila wiki)
Mahali: Tutachagua eneo linalofaa kila weekend
Hakuna gharama, ni wewe tu miguu yako.
Kama mpo humu please