Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Ukisikia mtu ana canser ndo anakumbuka kuanza yale malengo makubwa...
Mtu akifiwa na mtu wa karibu ndo ana anza kujali wwngine
Mtu akipata na ajali na akaepuka kifo ndo anaanza kurudia muumba
Mtu akikutwa na ugonjwa usiotibika ndipo anaanza kujitoa kwenye charity organizations ili awe msaada kwa wengine wenye similar situations.
Hivi ni kwa nini binadamu huenda kuishi katika complacency mpaka tragedy itakapo mkumba?
Je ni kwamba huwa hakuna reason ya kuishi mpaka tragedy ile ije imu awaken au, ni vile kwamba mindset hubadilishwa na tragedy ila sio conscious choice?
binti kiziwi ShesRise_1 min -me Mshana Jr ephen_ Lamomy Tsh