Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,686
MmmmhSio kwa watu , kuna wengine tulipata na makubwa tu , natukabaki kwenye njia zetu
MmmmhSio kwa watu , kuna wengine tulipata na makubwa tu , natukabaki kwenye njia zetu
Ila mbu ndo usiseme sasa, alaf kuna ******* wanakaba usiku, nilisha hawhi kula bapa za mapanga na wahuni sitasahau.Mto wa mmbu pazuri sana , pana mazingira mazuri, na pia kilimo kinakubali
Mwisho wa siku kufa utakufa tu, hata ukumbuke au usikumbuke utakufa tuMwanadamu tumeumbwa kusahau ndo mana zikatengwa siku za kukumbushana katka kila wiki.... Ijumaa,Jomos wengine Jpili
Mbali na hilo kuna sehemu tunahimizwa sanaa tutembelee napo ni mahospitalini kuona wagonjwa wanavyopambambania afya zao... Na makaburini kuona uhai waliopoteza wapendwa wetu.
Neema ya Afya na muda watu huzisahau adi pale wanapozipoteza ndo ukumbuka.
YeahMmmmh
Wewe binafsi unaweza kuwa na majibu mazuri.Ukisikia mtu ana canser ndo anakumbuka kuanza yale malengo makubwa...
Mtu akifiwa na mtu wa karibu ndo ana anza kujali wwngine
Mtu akipata na ajali na akaepuka kifo ndo anaanza kurudia muumba
Mtu akikutwa na ugonjwa usiotibika ndipo anaanza kujitoa kwenye charity organizations ili awe msaada kwa wengine wenye similar situations.
Hivi ni kwa nini binadamu huenda kuishi katika complacency mpaka tragedy itakapo mkumba?
Je ni kwamba huwa hakuna reason ya kuishi mpaka tragedy ile ije imu awaken au, ni vile kwamba mindset hubadilishwa na tragedy ila sio conscious choice?
binti kiziwi ShesRise_1 min -me Mshana Jr ephen_ Lamomy Tsh
Hahah sijawahi kuishi napita tu, na miaka fulani niliwahi Lima kitunguu kule chini matindiganiIla mbu ndo usiseme sasa, alaf kuna ******* wanakaba usiku, nilisha hawhi kula bapa za mapanga na wahuni sitasahau.
Uswazi sasa, ndo hakupoi sehemu za kupiga vitu kila chocho
Hakika mkuu ukisha jua kuwa all these things are meaningless, ndo unaanza kuona insanity ya mwanadamu na namna wa navyo Ogopa kuishi... Lakini hata wewe ambaye umepatwa na catastrophe unaweza usitambue kwa nini umewaza hivyo na wengine wanaishi maisha ya kuigizaMoja ya athari chanya za kuwaza kifo ni hizo. Mtu anaaza kufikiria namna ambayo mambo yanapendeza kuwa hata kama yeye hayupo.
Yaaani anaanza kuitilia usiriazi legacy yake. Na kujitahidi kukamilisha yale ambayo anahiso ndo jukumu lake la msingi duniani
Halafu ukibaki kwenye njia zako watu wanakushangaa. Hata mimi sioni ulazima wa kubadilika😄Yeah
Sitasahau wanangu mitaa hiyo walikuwa wanapiga mpepe (cha Arusha) vibaya mpaka mtu anaanza kucheka cheka bila sababu za msingi kumbe kasha kuwa high!Hahah sijawahi kuishi napita tu, na miaka fulani niliwahi Lima kitunguu kule chini matindigani
Mara nyingi watu ni waafki, wamatumbi tunaongwa na unafki 😁Halafu ukibaki kwenye njia zako watu wanakushangaa. Hata mimi sioni ulazima wa kubadilika😄
Kwani pisi kitandani inatakiwa iwe ngap😁Sitasahau wanangu mitaa hiyo walikuwa wanapiga mpepe (cha Arusha) vibaya mpaka mtu anaanza kucheka cheka bila sababu za msingi kumbe kasha kuwa high!
Nashukuru Mungu siku jikuta kwenye kileo cha aina yoyote.. 😂
But nilipenda sana ile culture wanakisawahili flani hivi kama Wakenya... Na pisi kali ila kitandani zero
Ilikuwa ni phase tu nayo imepita, sasa itaenjoy good and eganging posts kutoka kwanguWewe binafsi unaweza kuwa na majibu mazuri.
Kwanini ulikuwa unatafuta cheap popularity wakati kulikuwa na uwezekano wa kuwa popular kwa heshima kupitia mabandiko yenye maudhui fikirishi na yenye kuisaidia jamii?
Asee mno kwa hilo nimelia sana
Sawa sawa😁Yaani mimi huwa naomba Mungu nipate pisi yenye housing ya wadada wa chuga ila kitandani awe kama mnayturu, au wadada wa lindi au mtwara... Hapo nafunga ledger 📒 kabisa bwashee
Umeenda kanisani?Ukisikia mtu ana canser ndo anakumbuka kuanza yale malengo makubwa...
Mtu akifiwa na mtu wa karibu ndo ana anza kujali wwngine
Mtu akipata na ajali na akaepuka kifo ndo anaanza kurudia muumba
Mtu akikutwa na ugonjwa usiotibika ndipo anaanza kujitoa kwenye charity organizations ili awe msaada kwa wengine wenye similar situations.
Hivi ni kwa nini binadamu huenda kuishi katika complacency mpaka tragedy itakapo mkumba?
Je ni kwamba huwa hakuna reason ya kuishi mpaka tragedy ile ije imu awaken au, ni vile kwamba mindset hubadilishwa na tragedy ila sio conscious choice?
binti kiziwi ShesRise_1 min -me Mshana Jr ephen_ Lamomy Tsh
Yeah kila kitu kinawezekana tuInshallah nitampata siku moja bwashee