Hamza Johari, kabla ya Mange Kimambi, tuanze na ya Mdude&Polepole

Hamza Johari, kabla ya Mange Kimambi, tuanze na ya Mdude&Polepole

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, amejiapiza kumkamata Mwanaharaakati Mange Kimambi.

Ila kuna watu wepesi ambao angeanza nayo, ambayo hayaitaji Majadiliano na Serikali ya Marekani

Tunaomba Uwakamate waliomteka Mdude na Polepole. Pia wafikishwe mahakamani waliomuua Mzee Kibao.

Hapo kweli ndo nitaamini una uwezo wa kumkamata Mange Kimambi.

Tofauti na hapo nitakuona kama Boya tu. Sababu Wewe ni Mtumishi wq Serikali na unatakiwa uitumikie Nchi kwa kuanza ni Mikataba Mibovu, Ufisadi, Rushwa, Matumizi Mabaya ya Madaraka.

Maji huwa hayaruki shimo hadi lijae. Tujazie Shimo la wajina Mdude kabla hujahamia kwa Mange.

Ukifanya hivyo, 09/12/2025 sitaandamana.

Then tutahamia kwa walioua Watoto wetu waliokuwa wanaimba HAWAMTAKI SAMIA.

Kwani kutokumtaka mtu ni kosa?

Ni ajabu Mwanasheria Mkuu kujiapiza kupambana na Wananchi badala ya kujiapiza kutetea Nchi na rasilimali zake.

Sema kwa upande Mwingine umemsaidia Mange. Siku akidhurika, tutajua nani kafanya kwani ushajitaja.. Na hivi umezaa ovyo ovyo, tutaanza na wanao kuwauliza kwanini baba yenu ameua
 
Hadidu za rejea zake zinamtaka amkamate Mange mastermind Kimambi.
Mwili mdogo lakini kivuli chake kikubwa sana
 
Inaonekana wazi kabisa amekuja kimkakati ameshindwa hata kuficha hisia zake
 
Viongozi wana majigambo kama vile wataishi milele.
 
Back
Top Bottom