Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.
Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.
Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.