Hakuna maridhiano(USANII) hapa; acheni tu nchi izikwe rasmi tuanze upya.

Gentleman,
vyama sio muhimu kwenye masuala ya kitaifa. Na kama vipo vyenye misimamo yao useless nadhani ni vizuri vikapuuzwa na waliotayari waridhiane na wasonge mbele bila mbambamba yoyote 🐒
Wewe mwizi na mla rushwa. Hatukutaki kwenye forum hii. Unanuka rushwa na mambo ya wizi wizi tu
 
Jizi lipenda rushwa unashangia nini. endelea kula rushwa ndi kitu ulicholetewa hapa duniani
jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi gentleman,

huna haja ya kuweweseke na kumbwelambwela vitu useless jukwaani 🐒
 
Wewe mwizi na mla rushwa. Hatukutaki kwenye forum hii. Unanuka rushwa na mambo ya wizi wizi tu
Gentleman,
mihemko useless jukwaani haina maana yoyote na wala haisaidii kubadili chochote ispokua inakuexpose tu wewe mwenyewe jinsi ulivyo empty head 🐒
 
Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.

Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
Huo upuuzi hata katoto kanako nyonya katagomea huo upuuzi,na hapo hao kenge wanatakiwa watambue sii tena enzi za kenge ila za nyoka na huwa!
 
Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.

Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
Watakufa hadi virembwe wako lakini mama Tanzania itaendelea kusimama imara chini ya Watanzania wakiongozwa na Chama cha Mapinduzi!
 
Licha ya kwamba serikali haramu imeendelea na kile kinachoelezwa kuwa ni juhudi za kuitisha maridhiano (USANII), hali halisi inaonekana kuwa tofauti. Kitendo cha kuwabambikia vijana wa CHASO na mhadhiri wa chuo kikuu kesi ya ugaidi ni ishara tosha kwamba, kama mbwai na iwe mbwai.
Mnafiki yeyote atakayejitokeza kuhamasisha maridhiano, ghadhabu ya Aliye Juu iwe juu yake.

Hakuna maridhiano hapa; acheni nchi izikwe rasmi, kisha tuanze upya.
We jamaa unaona Bora tukose wote?
 
Huwezi kuridhiana na shetani
 
Maridhiano ya kusafisha waliotenda maovu yatawezekana vipi.

hao wanaotafutwa kushiriki kwenye tendo hilo na wao watakuwa wanashiriki uovu.
 
Mi nilishawahi kuwaambia hapa , Bila civil war , raia kubeba kalashikovs ,viberiti ,mapanga na marungu .kuwafuta hicho kizazi cha IIbilisi ccm basi mtateseka sana ,tena sana
 
Gentleman,
maridhiano ni tendo la hiyari miongoni mwa waTanzania wote. Sio lazima wewe au mimi kua sehemu ya maridhiano hayo muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu.

mamilioni ya waTanzania wengine wanaweza kutuwakilisha vema kwa niaba yetu na kwa niaba ya waliokosa fursa hiyo kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na majukumu.

mwaka 2025,
kuna vyama vya siasa kwa hiyari zao, waliosusia uchaguzi mkuu, lakini mamilioni ya waTanzania ambao walikua tayari, walishiriki kikamilifu katika zoezi hilo la kikatiba na nchi yetu hivi sasa inasonga mbele vizuri tu kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Nadhani hata kwenye mchakato wa maridhiano kuelekea katiba mpya ikiwa hivyo, itapendeza zaidi. Watakaosusa wakae pembeni ili hatimae watoe nafasi kwa walio tayari kufanya maridhiano na kusonga mbele kama taifa.

kumbe,
maisha hayana extra time 🐒Tuna macho lkn hatuoni, na tuna masikio lkn hatusikii
 
Back
Top Bottom