Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober,
At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter
Watanzania kwa wakati huu hatukupaswa kutoa lawama zozote angali tume zingalipo kazini zikifanya kazi usiku na mchana ili baadae tupate mjumuiko na muunganiko wa tume zote na zilizotangukia.
Watanzania kwa sasa tulipaswa kutulia,na kusubiri tume hii ya mwisho ambayo ndiyo itakuja kubainisha kwa kina juu ya kile kilichotokea.
Kuongea ongea sana ni kuvuruga kazi inayoendelea kufanyika kimya kimya kipelelezi yaani kwa tume ambayo tunaweza kuiita (TUME-PELELEZI).
Hatuwezi lalama wakati hatuna jumuiko la mwisho,la kile kilichofanyika.
TUVUTE SUBRA,TUIACHE TUME PELELEZI,IMALIZE KAZI YAKE,NDIPO TUIHUKUMU,KWA KUTOTENDA HAKI.
TUWE WATULIVU NA TUONE NI KAMA SHAURI AMBALO LIPO MAHAKAMANI LISILOSTAHILI KUJADILIWA,KABLA TUME PELELEZI KUMALIZA KAZI YAKE.
INSHAALLAH.