Yaani upewa dili alafu unaanza tena kumfundisha mtu ambae amekupa maelekezo, kwa nini yeye hajui kuwa ajira zinatangazwa utumishi ? Umemjua yeye ni nani? Daah vijana poleniAjira za TEMESA si mpaka ajira portal kuomba ?
Nimempa nafasi ya upendeleo kupata ajira TEMESA.Ajira za TEMESA si mpaka ajira portal kuomba ?
Kuna watu wanaoweza kukusaidia wakawa hawataki kujitangaza humu wewe nenda na fuata maelekezo yote hupungukiwi kituAjira za TEMESA si mpaka ajira portal kuomba ?