The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,849
- 9,643
π π πππππππ Ngoma zile za vigodoro uswazi?
Sijui hata nacheka nini
π π πππππππ Ngoma zile za vigodoro uswazi?
Sijui hata nacheka nini
Sijajichanganya Hata , Ni wao ndo waliokuwa wananisimanga na Ni wao Watu wa Dini....Kama ni watu wa dini aliyekuwa anakusimanga na kujudharau Nani wakati huna KAZI? Mbona unajichanganya hapa?
Kama ni wao sasa hiyo ni dini gani ya kusimanga na kudharau watu?
Waambie basi wakutafutie KAZI kanisani.
Karibu Sana, Weekend hii kuna Shughuli Chalinze, Mdaula Na Nyingine Bagamoyo, Ngoja Niwasikilizie washkaji Tunaenda Wapiii....Unajitambua mwanetu.
Mm sijawah hudhuria hizi ngoma.
Lini unapiga unipe location nije?. πππ.
mm kama ww tu. Siondoki na demu. Ni bia na kuwaangalia.
Iwe ijumaa bro.
Ndo maana nikauliza ni watu wa dini gani hiyo ya kusimanga watu?Sijajichanganya Hata , Ni wao ndo waliokuwa wananisimanga na Ni wao Watu wa Dini....
binadamu huishi nusu tuu ya maisha yake akiwa timamu.Subiri kaka Nijaze Vitu Ndani Na Ninunue At least kiwanja π
Karibu Sana, Weekend hii kuna Shughuli Chalinze, Mdaula Na Nyingine Bagamoyo, Ngoja Niwasikilizie washkaji Tunaenda Wapiii....
Pole sana mkuuMalaria Niliumwa Maralia kali sana Darasa la 6, Nikachomwa Sindano za Quinine ndo zikasababisha Yote hayo...
Wanakuchukulia bado mdogo..kama umepanga chumba tayari maana yake uneshaondoka kwao...endelea na maisha yako na haina haja ya kuwaambia unafanya nini.Baada ya Kwenda Zanzibar na Kukosa kazi Kisa Usikivu Hafifu π’, Nikaamua Kurudi Nyumbani Dar es Salaam, Hakuna Rangi Sikuiona Aiseee Masimango, Dharau za kila Aina, ila Nilivumilia tuu, Nikawa Naenda Kijiweni Natuliaa jioni Narudi Home...
Siku Moja Tupo Kijiweni na Washkaji Kuna Mdada Akaja Akawa anaongea na Mwenzetu "Nina Shughuli Mbagala Nitafutieni Wapiga Ngoma" Kumbuka hapo Mimi Sielewi Chochote Nipo Bize na Simu π , Yule Jamaa Akanishika Bega akaniambia "
jamaa ; Dogo si Ulikuwa Unapiga Ngoma Zamani
Mimi ; Ndio ila zile ni Bendi za shuleni Za Shughuli Sijui wanapigaje,
Mdada ; Kama Ana kipaji Twende, Nitafutie na wazoefu watamuelekeza.
Jamaa ; Dogo Nenda na huyu Dada Shika na hii elfu 5 itakusave. Ngoja niwapigie Wakina Shabani Uende Nao.
Na Hapo Ndo Safari Yangu ya Upigaji Ngoma ikaanza
Kiukweli Nina Kipaji cha Kupiga Ngoma, Nilipoelekezwa siku Moja tuu Nikaelewa.
Hii Kazi inanipa Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
Tatizo Linakuja Nyumbani wanataka wajue Ninafanya kazi Gani !? Maana Niliwaambia Nafundisha Pre- Form One ( Mimi Ni Mwalimu ) Kimbembe kinakuja wanataka waje Kazini kwangu Ninapofundisha π kila siku nawakwepa tuu...
Wakuu Natokaje Hapaa !?
Je, Niwaambie au Nikaushe !? Maana Nyumbani ni watu wa Dini Na Mazingira ya hii kazi Nadhani Mnayaelewa....
Walutheri KKKTNdo maana nikauliza ni watu wa dini gani hiyo ya kusimanga watu?
Jumuiya yoyote ile ukikaa nayo karibu na kuwaambia mambo yako.Walutheri KKKT
Mbagala shughuli ndo zinawaga Nyingiii Siku Tukienda nitakushtua Ukaopoe Mtoto wa Kimakonde π
Kama vinakuingizia pesa apige tu mwanetu asikae kiboya...Vigodoro, Watu wa Pwani Wanavipenda sanaa
Watu wa dini hawasimangi watu. Hao siyo watu wa dini.Walutheri KKKT
Tunamwaga moto kama madragoni!!!Pigaaa keleeeee..
Libase ....Motooooππ
Pesa ya kula Sikosi, Nimepanga Chumba, Nimenunua Godoro Na ndio kwanza Nina Miezi miwili Na Nusu Tuu....
kuna jambo hujaelezeaa
linaitwa pichu nyie sindio vinara kabisa wa kazi hizo??????????
Hakuna watu wanakula mbususu kama wapiga ngoma. Huko uzaramoni wanapiga ngoma giza likiingia wakati watu mzuka unapanda mnashangaa ngoma imezimwa mpigq ngoma kasusa! Basi hapo anaitwa dada lao kungwi anaambiwa ngoma haipigwi mpigaji anataka mtoto yule...imeisha hio. Binti analetwa jamaa anakula mbususu ngoma inaendelea!Huwa mnapambanaje na ashki inayosababishwa na hao wadada wanaotikisa kalio bila pichu ndani?π
Mwanetu naomba huu mualiko wa mbagala twende wote.manzese sitoki mwanetuππ huku napata burudani zooote na kubaki chenchi
kama kutakua hakuna shughuri huku mtaani kwetu nitakupa company ila ikiwepo ndo byee byee unisahauπMwanetu naomba huu mualiko wa mbagala twende wote.
Nakupitia tu hapo chap.
Tena kuwe na mechi moja kali ya mpira. Ili wana wajae bar. Alaf mechi ikiisha ndio wapande hao waburudishaji.ππππ.
Usikatae mwaliko aisee. Ni tabia mbaya ujue