PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, katika harakati zenu nyny panyaroad ugomvi ukaibuka baina yenu wenzio wakafa sasa serikali imekosea nini? Hapo wa kulaumiwa niwazazi kwa kutowapa malezi watoto wao.

Halafu Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si sahihi, mzazi/MLEZI ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunatoa malezi yakutosha kwa watoto wetu.

Mtoto akue akijua kuwa WIZI haufai matokeo yake ni kifungo/kifo, ajue kuwa matusi hayafai, ajue kuwa tamaa na wivu Mali za watu haifai...haya mafunzo yatolewe kwa watoto wangali Bado wadogo na yaambatane na adhabu, motivation & reinforcement.

Sahzi kumekuwa na desturi unakuta kitoto kidogo kinaongea ngono mwanzo mwisho halafu anatokea mla donation mmoja wa ufipa anailaumu serikali....this is childish.
Akili mnemba,
Watu wakiiba, wakachoma vitu, adhabu ya kifo ilitolewa na mahakama gani?
Kiwango kikubwa cha ufukara,ni pale unapofukarishwa na watawala mpaka inafika kiwango wewe unayeteswa unaanza kuona wewe ndio mwenye na ko sa, na watekaji wako hawana makosa,unaanza kujishuku, kwamba labda nilichotendewa nilikistahili,
"Stockholm Syndrome"
Mtu mweusi, aliwekwa utumwani, ukaja ukoroni, sasa hv ukoroni Mambo Leo, sio ajqbu watu weusi kujiona kama sio binadsmu, utasikia mtu mweusi shida tupu,
Syche yake ilibomolewa kabisa,
Wenye makosa ni ccm sio wewe, acha ujinga,
 
Walikufa wakiwa wanaendelea kuiba na kuchoma Mali za watu
Screenshot_20261030-115758~2.png
 
Ipo siku kizazi chako, pamoja na wewe chawa kikongwe mtakula chuma nyingi sana kama wale wahanga wa MO29
 
Attachments

  • image.png
    image.png
    305.6 KB · Views: 4
Tuwe wakweli. Narudia tena, Tuwe wa kweli. Walianzia na nguvu gani na walipoona wanazidiwa ndo wakaamua kutumia risasi za moto?
Je, huko kwenye nyumba za Familia(Makazi ya watu) kulikuwa na vurugu gani?

Hayo maneno yameshazoeleka. Hakuna jipya na hilo sio jibu sahihi bali ni
aina ya Insha ya kutunga. Huo upelelezi wa kubaini aina ya watu waliohusika ulifanyika na nani na lini?

Bado haujawa mkweli.
Huku kwetu zipo petrol station nyingi tu lakini hakuna petrol station hata moja iliyounguzwa na ni Tzanzania hii hii.

Mbona majibu yako yana wayawaya kama machela? i.e. Ur not focused; you seem to defend the side of the killers. Angelikuwepo hata ndugu yako wa damu usingelisema unayoyasema hapa. Kumbuka damu zile zinalilia Haki.
Uwelewa wako ni mdogo kuhusu uongozi na ulinzi wa Taifa na Mali zao

Ila tambua kuwa Serikali siku Ile ilitoa ONYO kuwa watu wasifanye fujo Wala wasiandamane

Kwahiyo walioandamana na kufanya fujo walikaidi amri ya serikali
 
Yah right. Watoto wanaiba mali wakiwa mgongoni mwa mama zao.
Huyu mwamba akili zake anazijua mwenyewe - hata wale watoto waliokuwa wakicheza nyumbani mwao walikuwa wanachoma moto petrol station.
 
Nani alipiga waturisasi?

Hakukua na option nyingine?

Waliotengeneza mabomu ya machozi maji ya washawasha na risasi za plastic hawakua na akili?

Acha kutetea mauaji
Tanzania imekua na matukio ya kuua majambazi, wezi na wahalifu, kitu ambacho si cha kujivunia

Bahati mbaya oct 29 kundi lilikua kubwa sana na dhamira ya uharibifu na vurugu zile hazikua njema
 
Tanzania imekua na matukio ya kuua majambazi, wezi na wahalifu, kitu ambacho si cha kujivunia

Bahati mbaya oct 29 kundi lilikua kubwa sana na dhamira ya uharibifu na vurugu zile hazikua njema
Mkuu; Kwa nini unasema Bahati mbaya Oct 29?
 
Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, katika harakati zenu nyny panyaroad ugomvi ukaibuka baina yenu wenzio wakafa sasa serikali imekosea nini? Hapo wa kulaumiwa niwazazi kwa kutowapa malezi watoto wao.

Halafu Hii desturi ya kuilaumu serikali kwa Kila jambo linalotokea katika jamii si sahihi, mzazi/MLEZI ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunatoa malezi yakutosha kwa watoto wetu.

Mtoto akue akijua kuwa WIZI haufai matokeo yake ni kifungo/kifo, ajue kuwa matusi hayafai, ajue kuwa tamaa na wivu Mali za watu haifai...haya mafunzo yatolewe kwa watoto wangali Bado wadogo na yaambatane na adhabu, motivation & reinforcement.

Sahzi kumekuwa na desturi unakuta kitoto kidogo kinaongea ngono mwanzo mwisho halafu anatokea mla donation mmoja wa ufipa anailaumu serikali....this is childish.
Huku pwani tuna msemo "Mwendawazimu anachekesha akiwa hajatoka kwenu".

Nadhani utakuwa umenielewa.
 
Njaa zitawaua sio kwa kujitoa akili kiasi hichi
Natamani kujua nyie ni wakike au wakiume
Chief mtu yeyote anaeshabikia, kufurahia au kukubaliana na uovu wa matukio ya kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka jana ni, mgonjwa wa akili.

Nashangaa humu watu wanavyojibizana na wagonjwa wa akili
 
Huyu mwamba akili zake anazijua mwenyewe - hata wale watoto waliokuwa wakicheza nyumbani mwao walikuwa wanachoma moto petrol station.

Kuna watu wanatetea tu kwa maslahi binafisi. Hsta kwa akili tu ya kawaida, kama police waliweza kuua 518, je waliwamata watu wangspi kwa hizo siku 3? Maana mpaka sasa wale 2000 walikamatwa baada ya matukio.
 
Inasikitisha sana kuona mtu mzima(adult) mwenye akili timamu(Mentally fit)
anadiriki kuongea kana kwamba anazungumza na wajinga wasiojua kilichotokea.
 
Wale vijana walitumika bila kujua
Mkuu; Mbona Unaongea kana kwamba hujui wenzio (Wa aina yako) walishatoa majibuGani? Kumbuka wenzio walisema hii kitu ilikuwa imeratibiwa na kila mshiriki alikuwa anajua Target yake ni wapi na jukumu la kinachotakiwa kufanyika(Hujuma). Wengine wenzio wakasema washiriki walikuwa wa aina mbili walioratibu na waliofadhili. Sasa broo; unasemaje walitumika bila kujua?
Yan mtu analipwa bila kuambiwa sababu ya malipo au lengo la kulipwa ni ili afanyeje? Tafakari.
 
Wapo waliofadhili, waliorwtibu na waliotumika

Waratibu walikua wanakuja, wanakiwasha na wanaondoka na kuwaacha waliokua wanatumika kuteseka

Wadhambi zaidi ni wale waliokua wanasambaza zile pesa kWa vijana

Now that trump will investigate George sorros, mengi yatakua wazi
 
Dah! Na yote hayo yakifanyika na kuendelea Wajeda wamejikalia tu pale wanachukua data.
 
Back
Top Bottom