huenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.
Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?š