PostGE2025 Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atamani kurudi shule

PostGE2025 Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 atamani kurudi shule

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
magaidi waliwapora walinzi wengi sana wa makampuni binafsi hasa walikua wakilinda masheli na manyumba ya ibada.

walinzi wengi binafsi walipasuliwa vichwa kwa kupigwa marungu ya vichwa na magaidi šŸ’
Kwa hiyo watu 500+ waliotajwa na Chande wameuawa na magaidi haya ni wangapi wamekatwa kwa kutenda huo uhalifu mkubwa sana kwa binadamu na silaha zao ziko wapi?
 
Achaaaa😭😭😭😭😭😭😭 nimemtazama katika mazingira mengi sana hakuna sehemu haijanitoa machozi nimewaza tu hapo anawaza ndoto yake ya maisha huenda ikaishia hivyo ndiyo maana anatamani kujiendeleza dah inaumaaaaa, nimemtazama kama binti yangu mahangaiko aliyoyapata kipindi chote cha kuuguzwa,nimemuwazia sasa binti kama huyu ilikuaje itumike nguvu kubwa hivyo kumnyamazisha kipindi cha uchaguzi ana athari gani jamani
Future ya mtoto imeharibika ,wamempa ukilema wa maisha na maumivu yasiyoelezeka,wamehsribu ndoto zake aisee laana itawatafuna wote waliohusika 😢
 
huenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.

Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?šŸ’
Wanawake kweli ni mashetanišŸ¤”Yani mtoto wa miaka 13 kapigwa risasi alafu Bado unaikingia kifua Serikali yako ya Samia kuwa ilikuwa sahihi??? Aiseee inaweza ikawa sio Leo Wala kesho ila Kuna siku tu uzuri dhambi sio kutenda tu hata kunena huhesabiwašŸ–ļø
 
Walokole mavi kama nyinyi ndio mliosababisha vurugu na kusababisha watu wengi wasio na hatia kuumizwa na kuuwawa, mlikuwa mnatembea na misalaba huku mkichomachoma majengo, mlidhani mtapindua nchi, wengi wenu mlistahili kufumuliwa ubongo
Kwa nini waislamu mlificha maiti na kukanusha hata video za mochwari ..nataka majibu ... waislamu wenzenu Oct 29 wameua sana makafiri ..walikuwa wanashindana kabisa kuua makafiri..
 
huenda magaidi yalimpiga kwasababu alienda kupiga kura binti wa watu,
maana,
magaidi walikua wanawakata vidole wananchi waliokua tayari wamepiga kura kwa kuwakagua vidole vilivyo kua na wino uliowekwa kidoleni kama alama ya baadaa ya kupiga, na magaidi hao walifanya hivyo nyumba kwa nyumba na ndipo wakafikia hatua ya kuua wazazi wa watoto hao ambao walienda kupiga kura, lakini pia walikataa kujiunga na ghasia zile za kigaidi.

Gentleman,
huyo binti wazazi wake walinusurika kweli na hila za magaidi wale?šŸ’
Kuna kipindi uwe kimya uache usengee basi acha usengee mtoto wamiaka 13 akapige kura acha usengee
 
Kuna kipindi uwe kimya uache usengee basi acha usengee mtoto wamiaka 13 akapige kura acha usengee
kwamba mihemko yako useless jukwaani ndio inanyamazishe mimi right?

au kuporomosha matusi jukwaani kunaweza kunitisha, right?

kwanini usitoa maoni yako huru na kuacha kubabaika na maoni huru ya wadau wengine huru wa jf, hatakakama ni tofauti na yako?

kwanini usijifunze kukubali kutofautiana bila kutukana?
nadhani itapendeza zaidi šŸ’
 
Back
Top Bottom