PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne.

Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa kazini na alitaka kururdi nyumbani hivyo alipowaomba wanajeshi wamruhusu arudi nyumbani akajibiwa kuwa haiwezekani na baada ya muda akapigwa risasi.
 
Akiwa kanisani kwake Askofu Gwajima amemsimamisha muumini mmoja wa kanisa hilo ambaye alikutana na kadhia ya kushambuliwa kwa risasi wakati wa maandamano yaliyotokea Oktoba 2025.

Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa kazini na alitaka kururdi nyumbani hivyo alipowaomba wanajeshi wamruhusu arudi nyumbani akajibiwa kuwa haiwezekani na baada ya muda akapigwa risasi.
 
Ni suala la muda tu mwanzo ilionekana ni CHADEMA na hata wasio na vyama nao walipigwa risasi.
 
Back
Top Bottom