vifo maandamano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Kijo-Bisimba: Tume ya Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua matukio ya Oktoba 29

    Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea. Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Lutgard Kagaruki: Umoja wa Mataifa, AU na EAC zina faida gani kwetu? wamekaa kimya kuhusu vifo vya Oktoba 29

    Mjumbe wa Bodi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Lutgard Kagaruki, amesema kinachomuumiza zaidi ni baadhi ya viongozi kujifanya kana kwamba hakuna kilichotokea, huku wakihusisha vifo hivyo na vurugu zilizofanywa na vijana, akisisitiza kuwa kufanya vurugu hakuhalalishi kuua kwa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Tukiendekeza uovu kwa kiburi, Taifa litaangamia kama Sodoma na Gomora

    Padri Kitima amewataka Watanzania kutubu, kujisahihisha na kuacha kuendeleza uovu kwa kiburi, akionya kuwa taifa likiendeleza hali hiyo linaweza kuangamia kama Sodoma na Gomora. Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Wananchi wawe na imani na tume ya jaji Lila

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kinondoni kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi mbele ya Tume ya Jaji Lila, ambayo kwa sasa inapokea maoni kutoka kwa wananchi wa wilaya hiyo kwa muda wa wiki moja. Rungwe amesema wananchi wanapaswa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Balile: Oktoba 29 Waandishi tuliwatafuta watu wa kuwahoji, Barabara zilikuwa Nyeupe, Wao walikuwa wapi?

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema waandishi wa habari walikuwa barabarani Oktoba 29 wakitafuta wananchi wa kuwahoji lakini hawakuwaona, huku akihoji walikokuwa siku hiyo. Fuatilia pia CNN: Video za Mochwari za Sekou Toure Mwanza na Mwananyamala DSM zenye...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Oktoba 29, 2025. Tulikosea je, tunaweza pia kusema tuwajibike?

    BAADA YA OCT 29, 2025 “TULIKOSEA”JE, TUNAWEZA PIA KUSEMA “TUWAJIBIKE” OKTOBA 29, 2025 2025 ni siku ambayo WaTanzania(Bara) inabidi kuungana katika kuyatafakari yaliyotokea kwa pamoja. Lakini baada ya matukio ya Oktoba 29, suala la uwajibikaji linahitaji zaidi ya kukiri kwa ujumla kwamba...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kijo-Bisimba: Ule Haukuwa Uchaguzi, siku tumeruhusiwa kutoka tulikuta maboksi ya uchaguzi mitaani sijui yalikuwa na kura au la!

    Mkurugenzi mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanaharakati mkongwe, Dkt. Hellen Kijo-Bisimba, amehoji uhalali wa uchaguzi, akisema alichokiona siku hiyo hakikidhi viwango vya uchaguzi. Akizungumza Septemba 15, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Wananchi ndio waongoze mchakato wa Maridhiano baada ya kukubali tatizo lililopo kitaifa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema dhana ya maridhiano nchini inapaswa kuanza kwa kukiri na kukubali ukweli kuhusu matatizo yaliyopo. Akifafanua kuhusu maana ya maridhiano, amesema neno hilo linapaswa kueleweka kwa upana, akitumia mfano...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwananchi amwambia Ado Shaibu, wewe upo Bungeni unachukua posho wakati ndugu zetu walipotea. Wewe unajisikiaje?

    Katika mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo wa Septemba 11, 2026, uliofanyika Kata ya Dutwa, Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu, mwananchi Fulani amesimama na kumhoji Katibu Mkuu wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, kuhusu sababu za yeye kuendelea kubaki...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Summercliff: Masheikh mnaotaka tuombee El Niño bila kutubu damu iliyomwagika Oktoba 29 bila hatia, ni unafiki

    Sheikh Summercliff amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini waliojitokeza na kutoa wito wa kuombea taifa kutokana na changamoto ya El Niño, akisema maombi hayo yanapaswa kuanza kwa kutubu na kuwakumbuka waathirika wa matukio ya Oktoba 29. Amesema damu ya watu waliopoteza maisha, wakiwemo watoto...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Jaji Shaban Ally Lila, amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa Tume hiyo inaenda kutekeleza kazi iliyoelekezwa ya kuchunguza na kubaini wahusika wa ghasia za...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Wanasiasa acheni kutumia Majeraha ya Oktoba 29 kujinufaisha Kisiasa

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Itikadi, Uenezi na Mafunzo), Kenani Kihongosi, amewataka wanasiasa na vyama vya siasa nchini kuacha kutumia matukio ya Oktoba 29 kama ajenda ya kujijenga kisiasa, badala yake wawe wavumilivu na kusubiri matokeo ya Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais...
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Bado hatujamsikia Rais akisema neno 'Samahani' kwa yaliyotokea

    Wakuu, Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno "samahani" kwa niaba ya watendaji wa serikali yake. "Ni kweli Mheshimiwa Rais alisema yaliyotokea...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu adai kunyimwa nakala ya hotuba ya Jaji Chande

    Shauri la Kikatiba Na.7300/2026 lililofunguliwa na Mawakili Kulwa William Maduhu, Nashon Nkung na Paul Kisabo dhidi ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) na wenzake linaendelea kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Vurugu zilifanyika usiku Oktoba 29 wakati sehemu kubwa ya nchi walishapiga kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametetea uhalali wa serikali iliyopo madarakani na matokeo ya uchaguzi mkuu, akieleza kuwa vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi zilianza tarehe 29 usiku baada ya wananchi wengi kote nchini kuwa tayari wameshapiga kura...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asasi za Kiraia (AZAKI): Serikali ya Tanzania imeilipa kampuni ya BGR Group Tsh. Bilioni 7.886 kuisafisha taswira ya nchi

    Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) Tanzania, Julai 16, 2026, wamesema kumekuwa na jitihada za kutumia njia za mkato kushughulikia changamoto za kisiasa na kiutawala nchini badala ya kuzingatia misingi ya katiba na utawala wa sheria. Wamedai kuwa kumekuwa na matukio ya utekaji, mateso...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo: Tulidhani yaliyotokea Oktoba 29, yangekuwa mwisho, lakini baada ya hapo vitendo vya utekaji vinaendelea

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amesema matukio ya utekaji nchini yameanza kuwa jambo la kawaida, akieleza kuwa yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Amesema ingawa waathirika wa matukio hayo pamoja na familia, marafiki na majirani zao huumia, bado...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Brussels na Washington zazungumza lugha moja juu ya Tanzania na Mauaji ya Oktoba 29, Uvunjifu wa Haki za Binadamu na Kuminywa kwa Demokrasia

    Na Amani K. Mrope | Ofisi ya Washington Tatizo Siyo Pesa. Tatizo ni Tanzania Kuingizwa Rasmi Kwenye Rekodi mbaya za Kimataifa. Kuna nyakati ambazo nchi hupoteza fedha. Na kuna nyakati ambazo nchi hupoteza imani ya dunia. Fedha zinaweza kurejea. Lakini imani ni vigumu zaidi kuijenga upya...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Polisi hawana weledi hata chembe, wanatuhumiwa kuteka na kuua, na ndio waliohusika kuua Oktoba 29 na 30

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amelitupia lawama kali Jeshi la Polisi nchini akidai kuwa limepoteza weledi na kugeuka kuwa chombo kinachotumika kisiasa dhidi ya wapinzani. Akizungumza Juni 17, 2026 katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Heche alifunguka kuwa jeshi...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pascal Mayalla: Oktoba 29 vyombo vya dola vilikuwa havina namna, risasi za moto zilitumika kutuliza zile vurugu

    Akiongea hivi punde kupitia Podcast ya 'Royal" mwandishi nguli wa habari nchini Tanzania Pascal Mayalla, kasema watu waliouliwa Oktoba 29 kama walikuwa wanaandamana, waliuliwa kwa sababu vyombo vya dola vilikuwa havina namna, risasi za moto zilitumika kutuliza zile vurugu. Pascal Mayalla "Na...
Back
Top Bottom