Padri Kitima: Tukiendekeza uovu kwa kiburi, Taifa litaangamia kama Sodoma na Gomora

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Padri Kitima amewataka Watanzania kutubu, kujisahihisha na kuacha kuendeleza uovu kwa kiburi, akionya kuwa taifa likiendeleza hali hiyo linaweza kuangamia kama Sodoma na Gomora.

Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, iliyohusisha waliouawa siku ya uchaguzi na baada yake, amesema Watanzania wanapaswa kujifunza kutokana na maonyo ya viongozi waliotangulia, akiwemo Hayati Julius Nyerere.

Soma pia
 
Kuna watu wakilisikia tu jina la Padre Dr. Charles Kitima, akili zinawanavuruga.
 
Watanzania wanapaswa kujifunza kutokana na maonyo ya viongozi waliotangulia, akiwemo Hayati Julius Nyerere.
 
Padri Kitima amewataka Watanzania kutubu, kujisahihisha na kuacha kuendeleza uovu kwa kiburi, akionya kuwa taifa likiendeleza hali hiyo linaweza kuangamia kama Sodoma na Gomora.

Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, iliyohusisha waliouawa siku ya uchaguzi na baada yake, amesema Watanzania wanapaswa kujifunza kutokana na maonyo ya viongozi waliotangulia, akiwemo Hayati Julius Nyerere.

Soma pia
Sodoma na gomola
 
Attachments

  • HVehTwCWgAA1HI1.jpg
    HVehTwCWgAA1HI1.jpg
    261.1 KB · Views: 3
Padri Kitima amewataka Watanzania kutubu, kujisahihisha na kuacha kuendeleza uovu kwa kiburi, akionya kuwa taifa likiendeleza hali hiyo linaweza kuangamia kama Sodoma na Gomora.

Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, iliyohusisha waliouawa siku ya uchaguzi na baada yake, amesema Watanzania wanapaswa kujifunza kutokana na maonyo ya viongozi waliotangulia, akiwemo Hayati Julius Nyerere.

Soma pia
In fact inaonyesha yatatokea,
maana inaonekana una hamu na gamu sana yatokee hayo ili hatimae moyo wako ufurahie na wito wako wa upadre ukamilike vizuri zaidi.
.Hunda uliitwa kua padre kuchochea chuki, uhasama, ghasia, uharibifu na maafa.

hata hivyo,
kama miongoni mwa vijana wazalendo wa taifa hili, hatutakubali mchochee hiyo nonsense na itokee under our watch. Tutazuia istokekee kwa nguvu zetu zote na gharama yoyote ile na kulinusuru taifa letu dhidi ya dhamira na nia zenu ovu 🐒
 
Back
Top Bottom