PostGE2025 Dkt. Kijo-Bisimba: Tume ya Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua matukio ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.

Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.

Soma zaidi
 
Jibu rahisi! Amri jeshi mkuu ndiye aliyetoa amri ya kuua. Tusizunguke mbuyu.
Maana yake rais alitoa amri kama mkuu wa mamlaka zote za ulizi wa wananchi.

Swali linakuja. Je mauaji hayo kwa raia wasio na silaha yalikuwa halali? Au haramu. Jibu ni haramu.

Kwa mantiki hiyo sheria zetu zinasemaje iwapo mtu amefanya maamuzi yanamna hiyo?

Inakuwaje mtu wa aina hiyo bado ni kiongozi katika Taifa la utawala bora na sheria?

Wajibu wa wananchi ni nini? Kama mtu huyo amekataa au ameshindwa kuwajibishwa? Jibu ni kumuondoa kwa njia yoyote ile. Lengo ni kulinda maslahi ya Taifa na kizazi kijacho.

Nawaza mimi mtoto wa kitanganyika
 
Mkuu umenyoka barabara kabisa.
 
Ushauri wangu ni kwamba vipi kama tumehiyo inge chunguza kwanza nini kilifanya watu waandamane na kufanya fujo hizo?

Maana hata kama kuna watu walifadhili hizo fujo, lazima kuna kitu walikua wanahitaji au wanadai hakiko sawa pamoja na kwamba walilipwa.

Lakini swali bado ni: Je, Udhaifu uliyo tumika na hao wafadhili ni upi? Maana lazima waandamanaji kuna kitu walilalamikia hata kama nyuma ya pazia kulikuwa na jambo jingine lakini hicho walichoandamana wakidai wapewe, lakini badala ya kuita mikutano wananchi wapaze sauti zao ikibidi na vyombo vya habari vikiwa wazi bila masharti na mtoa hoja asiwe aliyepangwa huku akihakikishiwa usalama wake hata baada ya kupewa maiki
 
Jibu rahisi! Amri jeshi mkuu ndiye aliyetoa amri ya kuua. Tusizunguke mbuyu.
Maana yake rais alitoa amri kama mkuu wa mamlaka zote za ulizi wa wananchi.

Swali linakuja. Je mauaji hayo kwa raia wasio na silaha yalikuwa halali? Au haramu. Jibu ni haramu.

Kwa mantiki hiyo sheria zetu zinasemaje iwapo mtu amefanya maamuzi yanamna hiyo?

Inakuwaje mtu wa aina hiyo bado ni kiongozi katika Taifa la utawala bora na sheria?

Wajibu wa wananchi ni nini? Kama mtu huyo amekataa au ameshindwa kuwajibishwa? Jibu ni kumuondoa kwa njia yoyote ile. Lengo ni kulinda maslahi ya Taifa na kizazi kijacho.

Nawaza mimi mtoto wa kitanganyika
Ukianza watu watamaliza , amani italindwa ..Si mmeona yale mliambiwa na mashekhe ubwabwa, hao waliowachochea hawana cha kuwasaidia zaidi ya kuwakumbusha machungu . Hakuna amri wala nn , walioko field waliona haya ni mapinduzi , Hakuna Rais alikuja kutangaza hali ya hatari kama korea kaskazini , ngoma waliachiwa wajeda..Hkuna wa kukamatwa , mmevuna mlichpanda ..Nimezunguka kuwasihi ndugu zangu , kweli wamenishukuru sana nimewaepusha na matatizo

Mshajfunza siku nyingine hamuwezi kurudia ..Jaribu lolote la kutaka kumpindua Rais ni uhaini na hakuna adhabu zaidi ya kufa hii ni kutokana na katiba ..Kikatiba wamefanya sawa kabisa.​
 
Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.

Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.

Soma zaidi
Ukimya wao na kutowajibishana pia ni jibu tosha kuwa amri wametoa wenyew
 
Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.

Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.

Soma zaidi
Huyo atakuwa dokta ya vinyesi, yeye mwenyewe atuambie nani aliwatuma wale wahuni kuiba, kuvunja, kuharibu mali, kuchoma miundo mbinu? Wahalifu wasipotii amri halali lazima wauawe hiyo ndiyo kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama, aache siasa za majitaka na kutafuta umaarufu wa bei rahisi
 
Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.

Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.

Soma zaidi
hiyo tume huru ya Jaji Chande ilishamaliza wajibu wake kulingana na hadidu za rejea ilizopewa na alieunda tume hiyo.

Hata hivyo,
ni wazi huyo mbibi hajaskiliza, hajasoma au hana uelewa wa kutosha juu ya alichoeleza Jaji Chande wakati akiwasilisha ripoti na mapendekezo iliyoyatoa.

huenda uzee umevamia vibaya huyo mbibi. Tume ya Jaji chande ilishamaliza kazi, na sasa kuna kazi ya Jaji Lila inaendelea na kazi 🐒
 
Ukianza watu watamaliza , amani italindwa ..Si mmeona yale mliambiwa na mashekhe ubwabwa, hao waliowachochea hawana cha kuwasaidia zaidi ya kuwakumbusha machungu . Hakuna amri wala nn , walioko field waliona haya ni mapinduzi , Hakuna Rais alikuja kutangaza hali ya hatari kama korea kaskazini , ngoma waliachiwa wajeda..Hkuna wa kukamatwa , mmevuna mlichpanda ..Nimezunguka kuwasihi ndugu zangu , kweli wamenishukuru sana nimewaepusha na matatizo

Mshajfunza siku nyingine hamuwezi kurudia ..Jaribu lolote la kutaka kumpindua Rais ni uhaini na hakuna adhabu zaidi ya kufa hii ni kutokana na katiba ..Kikatiba wamefanya sawa kabisa.​
Jifunze kuandika vizur kwanza unaruka ruka maneno na unaacha nafasi kupita kiasi😏
 
Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.

Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.

Soma zaidi
Pia tume ya Jaji CHANDE ilishindwa kutamka ni akina nani walitoa hamasa na kushauri vijana wavamie vituo vya polisi,wachukue silaha,wachome mwendokasi,wachome maduka na vituo vya mafuta pamoja na magari. Pia tume ilishindwa kutueleza ni akina nani walifanya kinyume na sheria za nchi kwa kuvuruga uchaguzi.
 
Jifunze kuandika vizur kwanza unaruka ruka maneno na unaacha nafasi kupita kiasi😏
Naona hauna hoja ,ukiona mtu anakazania kwamba kuna mtu alitoa amri basi ni zwazwa 😅😅...Yaani ni mjinga kabisa ,mlichotaka mlipata hakuna mtu katoa amri ,hao waandamaji nao wameua watu acheni utani.

Hoja za kitoto ,kafie mbele huko ..Endelea kuombolewa na usifanye kazi.
 
Hawawezi mchomesha aliewatuma!kumbuka Kuna vijisenti pale,uoe ni ulaji!!

watakwepesha ili wasimuudhi mgawa faranga!!
 
Back
Top Bottom