PostGE2025 Dkt. Kijo-Bisimba: Tume ya Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua matukio ya Oktoba 29

PostGE2025 Dkt. Kijo-Bisimba: Tume ya Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua matukio ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Cho-ko Mchokoe Pweza......
Huyu mama ni mwanasheria anafahamu kwamba kisheria hilo swali analo uliza La nani alitoa amri ni mwendelezo wa uchokozi wake.Kwanza kama anaamini kwamba Maandamano yalifanyika na yalikuwa halali nasi aelewe kwamba na waaliokamatwa na waliouwawa na vyomba vya ulinzi na usalama walikuwa ama ni halali au ni cillateral damage.

Walioshambulia na kuua wananchi ni watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao walikuwa wakitekeleza wajibu wao.Kama walikiuka tarataibu ina maana kuna taratibu za kisheria za kuwashughulikia.Sasa unapouliza nani alitoa AMRI ni tabia za KINOKO tu ilhali iko wazi kwamba Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama ni vyetu na silaha wamepewa kwa gharama za kodi zetu na Jukumu lao ni kulanda usalama wa RAIA na MALI zao kama walinzi wa Jamhuri.

Hizi Chokochoko za wabibi kama hawa ndio zinafanya harakati za mabadiliko zionekana kama Gnge la Wahuni badala ya kujipanga na kuacha kuwatoa wananchi KAFARA.Mlitamani sana kuona Tanzania inachafuka na kuingia katika CIVIL WARS ila UIMARA wa seriklai umeweza kuchelewesha hilo na sisi badala ya kutulia na kujipanga mnaleta chokochoko nyingine.

Hizo Damu za waliouwawa zitatulilia siku zote kama TAIFA
 
Ukianza watu watamaliza , amani italindwa ..Si mmeona yale mliambiwa na mashekhe ubwabwa, hao waliowachochea hawana cha kuwasaidia zaidi ya kuwakumbusha machungu . Hakuna amri wala nn , walioko field waliona haya ni mapinduzi , Hakuna Rais alikuja kutangaza hali ya hatari kama korea kaskazini , ngoma waliachiwa wajeda..Hkuna wa kukamatwa , mmevuna mlichpanda ..Nimezunguka kuwasihi ndugu zangu , kweli wamenishukuru sana nimewaepusha na matatizo

Mshajfunza siku nyingine hamuwezi kurudia ..Jaribu lolote la kutaka kumpindua Rais ni uhaini na hakuna adhabu zaidi ya kufa hii ni kutokana na katiba ..Kikatiba wamefanya sawa kabisa.​

Walikua wanapindua nini??
 
Naona hauna hoja ,ukiona mtu anakazania kwamba kuna mtu alitoa amri basi ni zwazwa 😅😅...Yaani ni mjinga kabisa ,mlichotaka mlipata hakuna mtu katoa amri ,hao waandamaji nao wameua watu acheni utani.

Hoja za kitoto ,kafie mbele huko ..Endelea kuombolewa na usifanye kazi.
Kuanza kujibishana na tahira nao ni utahira mwngne🚮🚮

Enjoy mwaya🥳🥳
 
Walikua wanapindua nini??
Labda ulifuata agenda ,mlikuwa mnafanya mapinduzi ..Kuwadhuru waliokwenda kupiga kura...Mnashawishi jeshi kuasi, nyie hata theluthi hamfiki mnaleta vurugu ..Mkome !
 
Sio mama yangu tuu ukoo wetu wote ni wajinga vilevile🤸‍♂️🤸‍♂️

Nakusanua iyo🤝
Sibishani na fala ,mafala mko wachache
.Chanzo cha ujinga wenu ,leo mnalia lia ..Maisha yanaendelea.
 
Ukianza watu watamaliza , amani italindwa ..Si mmeona yale mliambiwa na mashekhe ubwabwa, hao waliowachochea hawana cha kuwasaidia zaidi ya kuwakumbusha machungu . Hakuna amri wala nn , walioko field waliona haya ni mapinduzi , Hakuna Rais alikuja kutangaza hali ya hatari kama korea kaskazini , ngoma waliachiwa wajeda..Hkuna wa kukamatwa , mmevuna mlichpanda ..Nimezunguka kuwasihi ndugu zangu , kweli wamenishukuru sana nimewaepusha na matatizo

Mshajfunza siku nyingine hamuwezi kurudia ..Jaribu lolote la kutaka kumpindua Rais ni uhaini na hakuna adhabu zaidi ya kufa hii ni kutokana na katiba ..Kikatiba wamefanya sawa kabisa.​
Ila hii nchi bhana, unaweza kuta kuna watu wanakuiita Baba. 😂😂😂
 
When looting starts, Shooting starts
End Off
Hakuna maelezo mengi, sasa wewe jichanganye
 
Mmeshindwa ,hapa amani tu. Mwanaume wa kweli unapiga majungu badala ya kufanya kazi.😅😅
Pole mkuu, majungu yako wapi hapo? Mimi nimesema kuwa unakuta kuna watu wanakuita Baba. Wewe unajibu mambo ya amani na ujinga ujinga. Utashangaa unadharaulika kuliko lucas
 
Pole mkuu, majungu yako wapi hapo? Mimi nimesema kuwa unakuta kuna watu wanakuita Baba. Wewe unajibu mambo ya amani na ujinga ujinga. Utashangaa unadharaulika kuliko lucas
Kwa hiyo pakitokea machafuko familia zetu zitakwenda wapi? Kijana unapopambana na hali yako usimtingishe mwingine..Kuweni makini na conscious zenu za kishamba hizo.
 
Kwa hiyo pakitokea machafuko familia zetu zitakwenda wapi? Kijana unapopambana na hali yako usimtingishe mwingine..Kuweni makini na conscious zenu za kishamba hizo.
Naweza kusema kidogo umetumia kichwa vizuri. Kumbe somo limekuingia
 
Naweza kusema kidogo umetumia kichwa vizuri. Kumbe somo limekuingia
Kama nyie vidume na sio mashoga ,nendeni sio kuchoma maduka ya watu ,dhulma mbaya sana ona mlivyokufa sasa.
 
Amri ilitoka kwa mapolisi wakuu tu,ili kulinda usalama wa Raia na Mali zao!!!

Alisikika kada mzoefu wa chama chetu akiwa amelewa!!
 
Pia tume ya Jaji CHANDE ilishindwa kutamka ni akina nani walitoa hamasa na kushauri vijana wavamie vituo vya polisi,wachukue silaha,wachome mwendokasi,wachome maduka na vituo vya mafuta pamoja na magari. Pia tume ilishindwa kutueleza ni akina nani walifanya kinyume na sheria za nchi kwa kuvuruga uchaguzi.
Kumbe uchaguzi ulivurugwa?
 
Dkt. Helen Kijo-Bisimba amesema Tume ya Uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Chande haikuonesha nani alitoa amri ya kuua katika matukio ya Oktoba 29, akisema hilo ni moja ya maswali ya msingi ambayo yalipaswa kujibiwa ili Watanzania wafahamu ukweli wa yaliyotokea.

Akizungumza Oktoba 29, 2026 katika kumbukumbu ya Mwaka Mmoja toka Oktoba 29, amesema kutokuwepo kwa majibu ya maswali hayo kunachangiwa pia na kutokuaminiana na vyombo vilivyoundwa kuchunguza matukio hayo, akisisitiza kuwa kulikuwa na haja ya kupata chombo huru kitakachoaminika na pande zote.

Soma zaidi
 

Attachments

  • 6429167-4379e723897040c642f3e3d6da3950de.mp4
    37.1 MB
  • 6429170-e2302916e243b02df27dbcf81cdd7ba3.mp4
    68.9 MB
Jibu rahisi! Amri jeshi mkuu ndiye aliyetoa amri ya kuua. Tusizunguke mbuyu.
Maana yake rais alitoa amri kama mkuu wa mamlaka zote za ulizi wa wananchi.

Swali linakuja. Je mauaji hayo kwa raia wasio na silaha yalikuwa halali? Au haramu. Jibu ni haramu.

Kwa mantiki hiyo sheria zetu zinasemaje iwapo mtu amefanya maamuzi yanamna hiyo?

Inakuwaje mtu wa aina hiyo bado ni kiongozi katika Taifa la utawala bora na sheria?

Wajibu wa wananchi ni nini? Kama mtu huyo amekataa au ameshindwa kuwajibishwa? Jibu ni kumuondoa kwa njia yoyote ile. Lengo ni kulinda maslahi ya Taifa na kizazi kijacho.

Nawaza mimi mtoto wa kitanganyika
Kwenye kuzima mapinduzi nani huvipa amri vyombo vya ulinzi na usalama?
 
Back
Top Bottom