Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sheikh Summercliff amewakosoa baadhi ya viongozi wa dini waliojitokeza na kutoa wito wa kuombea taifa kutokana na changamoto ya El Niño, akisema maombi hayo yanapaswa kuanza kwa kutubu na kuwakumbuka waathirika wa matukio ya Oktoba 29. Amesema damu ya watu waliopoteza maisha, wakiwemo watoto, haiwezi kupuuzwa katika maombi ya taifa.
Soma >> Mufti Abubakary Zubeir: Fungeni siku tatu kuombea taifa
Akizungumza kwa msisitizo, Sheikh Summercliff amewataka viongozi hao kuacha kile alichokiita unafiki na badala yake kuwaombea kwanza waliokufa bila hatia. Pia ametaka taifa kukiri makosa na kumuomba Mungu kuhusu maumivu yaliyowapata waathirika na familia zao.