risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mhubiri mtata Nigeria, Yahaya Masussuka, aliyepinga hadithi za Mitume mohamed na kusisitiza kuwa quran tukufu inatosha auawa kwa kupigwa risasi

    Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake. Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Lema aondolewe mstari wa mbele wa mapambano haraka ataharibu morali ya wapambanaji vitani wanapigwa risasi

    Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo . Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline . Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Staki kuamini yakuwa Tume ya Chande haikumshauri, rais awatibu marejeruhi wa risasi za 29/10/2025 mpaka wajitokeze leo na kulia lia hadharani.

    Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania. Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29, Manzese

    https://www.instagram.com/p/DfK43SzjUOo/ Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu. Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali. Pia soma ~ Mtoto wa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Walitaka Lissu afe kwa risasi Mungu akamjibu, wanapanga afe kwa kunyongwa Mungu atajibu

    Kifo ni kifo tu, kiwe kwa risasi, kiwe kwa kunyonga, kitokee kitandani ni kifo tu. Magufuli alipanga Lissu afe kwa risasi Mungu akakataa ila akajibu instantly, safari hii wamepanga Lissu afe kwa kunyongwa, naimani Mungu atakataa tena lakini atawajibu kwa kipimo kile kile pengine zaidi. Kama ni...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kinondoni: Laurent Kweka anayetuhumiwa kumuua Mkewe Jenipher kwa risasi huko Bunju A, Kufikishwa Mahakamani leo

    Laurent Kweka anaye tuhumiwa kumuua Mkewe, aliyefahamika kwa jina la Jenipher, kwa kumpiga risasi nyumbani kwao Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Mkoani Dar es salaam, Kufikishwa Mahakama ya Kinondoni leo. Tukio hijo la mauaji lilitokea alfajiri ya Oktoba 1, 2026 ambapo Kweka alimuua...
  8. Think2

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka kuhusu jane alipigwa risasi na mumewe dada yake bella afichua haya

    Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam...
  9. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoua wake zao kwa risasi Marekani ni tofauti na wa Tanzania. Wanaua kwanza mke, watoto na baadaye kujiua

    Kesi za wanaume kuua wake zao kwa kuwapiga risasi Marekani zimekuwa nyingi sana. "Kweka" hao kwa Trump wakishaua wake zao wanageukia watoto kuwaua halafu baadaye nao wanaelekeza mtutu nakujiua. Ni jana tu huko New Jersey Marekan Insurance executive David Gronnick, 61, kamuua mke wake Lora...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kweka kumpiga risasi mkewe ni kielelezo cha wanaume kupitia mengi yasiyojulikana

    NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao. Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tukio la mke kuuawa kwa risasi kisa kikidaiwa ni mali, je, ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa?

    Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza? Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kweka kumlamba risasi mkewe naona dada zetu wameanza kuogopa kuolewa na wachaga sasa uwiii

    Majuzi nilikuwa river side vikao vya harpsichord Yaan wachaga wameanza kuogopwaa aisee Toka mmoja huko kumtwanga mkewe watu wameanza kuogopa wachaga wenzetu Na wa arusha huko mjipange Soma Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam
  13. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mapya alie mpiga risasi mkewe, yaibuka, wadau wafunguka kilicho kua nyuma

    Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua...
  14. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana mtu ulieweza kumwambia nakupenda na akakukubalia na ukawa mwingi wa furaha lakini mtu huyo huyo leo unainukua pisto kumchapa risasi

    Yeremia 17:9, "Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?"
  15. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Afrika Kusini waanzisha msako baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi klabuni

    Polisi nchini Afrika Kusini walisema siku ya Jumapili Septemba 27, 2026 kuwa wameanzisha msako mkali baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi usiku wa Jumamosi Septemba 26, 2026 kwenye kilabu cha pombe (tavern) katika mtaa wa Wedela, kusini magharibi mwa Johannesburg. Huduma za...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Hatma za Watekwaji: mamba, chatu, vinu vya saruji, risasi, shimo la Mungu......

    Shimo la Mungu lipo Mtwara, wilaya ya Newala jirani na makazi ya alyewahi kuwa Waziri wa Utawala Bora ndg Mkuchika.... Hatma ni nyingi kwa watekwa nyara na serikali hii...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa

    Kaka Mwaipaya habari. Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanaume akiwatishia kuwapiga risasi wanawake waliokuwa katika Hoteli huko Sandton Afrika Kusini

    Kipande cha video kinachosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii kimezua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamume mmoja akimwaga vitisho vya kuua na kuwadhalilisha wanawake waliokuwa kwenye chumba cha kujipamba (powder room) katika eneo la Sandton, Afrika Kusini. Kwenye video hiyo...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

    Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio la kuzima vurugu waliobeba virungu, filimbi na pingu tu? Hapohapo kumbuka askari wengi walikuwa...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi wasingekuwa compromised wangemhoji Freeman Mbowe kuhusu kupigwa kwake Risasi

    Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani. Tundu lissu kapitia mengi Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa...
Back
Top Bottom