Kifo ni kifo tu, kiwe kwa risasi, kiwe kwa kunyonga, kitokee kitandani ni kifo tu.
Magufuli alipanga Lissu afe kwa risasi Mungu akakataa ila akajibu instantly, safari hii wamepanga Lissu afe kwa kunyongwa, naimani Mungu atakataa tena lakini atawajibu kwa kipimo kile kile pengine zaidi.
Kama ni kumnyonga mnyongeni kwa haki, LAKINI kama mmepanga kumuonea hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe.
Tukutane 2030 kama tutakuwa bado tupo hai tukisubiri majibu.