Video: Polisi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi Kilosa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kaka Mwaipaya habari.

Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3 mwenzetu amekufa kwa mateso makubwa.

Nchi imeharibika hakuna amani tena mauaji kila siku,utekaji kila siku, huu ujinga tukiuchekea TUTAISHA ndugu zangu, pona yetu ni kuandamana Tarehe 29.10.2026.

Soma Pia: Kigoma: Zaidi ya wananchi 100 wa Jamii ya Wanyantuzu, wadaiwa kupigwa risasi na Polisi
 
ok.🐒
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 8
Tuna utawala wa laana. Polisi wanajua mkuu wa nchi anafurahia mauaji, hivyo wanaua raia kila wanapojisikia. Wanajua hata wakiua hawatafanywa lolote. Lakini laiti tungekuwa na mtawala anayeudhiwa na mauaji, kamwe polisi wasingekuwa wanafanya uharamia huu.
 
Inasikitisha, Tanzania hatuna uwezo wa kutia basic first aid services, huyo jamaa anakufa kwa kuvuja damu 😭.

Halafu kuna Waziri mjinga ameona BIOLOGY sio somo la lazima.
 
Yaani. Nimeshindwa kuangalia hadi mwisho. Mtu unakufa huku unajiona. Hii ni mbaya sana.
 
Kaka Mwaipaya habari.

Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3 mwenzetu amekufa kwa mateso makubwa.

Nchi imeharibika hakuna amani tena mauaji kila siku,utekaji kila siku, huu ujinga tukiuchekea TUTAISHA ndugu zangu, pona yetu ni kuandamana Tarehe 29.10.2026.

Soma Pia: Kigoma: Zaidi ya wananchi 100 wa Jamii ya Wanyantuzu, wadaiwa kupigwa risasi na Polisi

Ujinga ujinga tu.
Hiyo Hosp nao wapumbavu kama hao polisi.

wangempa huduma wakati PF3 inafuatiliwa.
WaTZ sijui tumerogwa na nani?.
Yaan unamuacha Binadamu mwenzako afariki kisa hajaja na PF3?.

Hii PF3 ni sheria ya kindezi sana.

Kisukari kimenipanda. Dah😡😡😡😡
 
Inasikitisha, Tanzania hatuna uwezo wa kutia basic first aid services, huyo jamaa anakufa kwa kuvuja damu 😭.

Halafu kuna Waziri mjinga ameona BIOLOGY sio somo la lazima.

Kabisa , hapo kungekuwa na mtu jasiri. Jamaa angepona.
Hizo damu zimetoka kidogo kidogo kwa muda mrefu. Had jamaa amefariki.
Dah what a shame.
😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom