Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Sa100 muuaji sana.katuharibia nchi
Waziri Enzi Ya Jiwe Akaenda Madagascar Kuleta Dawa Ya CoronaKwa Kabudi uko
Kilosa ndo kule ambalo DC wake anatafitwa na dudu bayaKaka Mwaipaya habari.
Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3 mwenzetu amekufa kwa mateso makubwa.
Nchi imeharibika hakuna amani tena mauaji kila siku,utekaji kila siku, huu ujinga tukiuchekea TUTAISHA ndugu zangu, pona yetu ni kuandamana Tarehe 29.10.2026.
Soma Pia: Kigoma: Zaidi ya wananchi 100 wa Jamii ya Wanyantuzu, wadaiwa kupigwa risasi na Polisi
Ni yule shoga mzanzibar?Kilosa ndo kule ambalo DC wake anatafitwa na dudu baya
Hawa jamaa daah. Sasa siwampeleke hospital harakaKaka Mwaipaya habari.
Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3 mwenzetu amekufa kwa mateso makubwa.
Nchi imeharibika hakuna amani tena mauaji kila siku,utekaji kila siku, huu ujinga tukiuchekea TUTAISHA ndugu zangu, pona yetu ni kuandamana Tarehe 29.10.2026.
Soma Pia: Kigoma: Zaidi ya wananchi 100 wa Jamii ya Wanyantuzu, wadaiwa kupigwa risasi na Polisi
Ndiyo. Alikuwa anaishi kinyumba na mtu anaitwa Salim mpelembwe wa TangaNi yule shoga mzanzibar?
Noma sanaNdiyo. Alikuwa anaishi kinyumba na mtu anaitwa Salim mpelembwe wa Tanga
Taarifa imeletwa kishabiki sana. Maelezo ya habari hii imepoteza umakini sababu imeandikwa kisiasa zaidi hivyo kuamini uhalisia wa taarifa yako unaleta mashaka.Kaka Mwaipaya habari.
Hapa ni Kilosa Morogoro Polisi amempiga mwananchi risasi kama unavyoona tunaomba utupazie sauti, huyu sio mwizi Bali ni raia mwema, kinachotuumiza ndugu yetu amepoteza maisha, tulimpeleka hospital wakasema tupeleka PF3 ya Polisi kwenda Polisi, Polisi wakakataa kutoa PF3 mwenzetu amekufa kwa mateso makubwa.
Nchi imeharibika hakuna amani tena mauaji kila siku,utekaji kila siku, huu ujinga tukiuchekea TUTAISHA ndugu zangu, pona yetu ni kuandamana Tarehe 29.10.2026.
Soma Pia: Kigoma: Zaidi ya wananchi 100 wa Jamii ya Wanyantuzu, wadaiwa kupigwa risasi na Polisi
Kabisa , hapo kungekuwa na mtu jasiri. Jamaa angepona.
Hizo damu zimetoka kidogo kidogo kwa muda mrefu. Had jamaa amefariki.
Dah what a shame.
😭😭😭😭
Hospitali walinyimwa kutibiwa mpka pf3 na police nao walikataaa kutoa naongea hayo mie nilikuwa hapo na ni mkazi wa hapoHawa jamaa daah. Sasa siwampeleke hospital haraka
Tatizoo mkuu ukifanya hivyoo hutaa week lazima na wewe uchezee risasi polisi hawana akili wataona unapambana nao.Imeniuma sana, Pamba + Gozi hazizidi hata 10k pharmacy, huduma ya 5 minutes ingemuokoa jamaa.
Tunamatatizo mengi sana sisi wa Tz.
Mbona kama ni kazi Sasa.Hawa jamaa daah. Sasa siwampeleke hospital haraka