Polisi wasingekuwa compromised wangemhoji Freeman Mbowe kuhusu kupigwa kwake Risasi

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani. Tundu lissu kapitia mengi

Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa compromised.

Na siku ikifanyika. Watu hamtaamini macho yenu.

Kikulacho ki nguoni mwako.
1003332298.jpg
 
Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani.

Huko sahihi,ata lile la mze Ally Kibao nina shaka nalo wahusika waliotoa mchoro mzima wa yule mzee kaondoka saa ngapi na kapnda gari gani alikua nao kwenye kikao hapo hapo ni CHADEMA wenzake
Ata kushambuliwa kwa Lissu wachora Ramani ni hao hao
Hii ni hatari sana
 
Naunga mkono hoja kuna watu walitumia ungomvi wa Magufuli na Lissu kufanya ujinga ule kwa Lissu
Ila kulikua na ushirikiano wa serikali ya Magufuli na virusi wengine ndani ya CHADEMA, walitumika/wanatumika kutoa taarifa za wenzao ndio maana hakuna aliyeshughulikia au kukamatwa kwenye huo uharifu ,katika hali ya kawaida wangedakwa wahusika serikali ina mkono mrefu ila kwa kuwa kuna ushirikiano wamefunika kombe
 
Duh, Mbona mambo yalikuwa wazi sana mkuu, kwamba ni upande gani gani ulihusika!

Labda utuambie kama unajua jambo zaidi ya lile ambalo wote wanafahamu
 
Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani.

Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa compromised.

Na siku ikifanyika. Watu hamtaamini macho yenu.

Kikulacho ki nguoni mwako.
huu ni ubongo unafikiria hivi au n mavi yako kichwani??
 
Huko sahihi,ata lile la mze Ally Kibao nina shaka nalo wahusika waliotoa mchoro mzima wa yule mzee kaondoka saa ngapi na kapnda gari gani alikua nao kwenye kikao hapo hapo ni CHADEMA wenzake
Ata kushambuliwa kwa Lissu wachora Ramani ni hao hao
Hii ni hatari sana
Kwamba kupanda basi au muda wa basi kuondoka ni siri inayohitaji mtu atoe mchoro?
 
Mbona iko known hiyo, anaondoka muda fulani na gari fulani,ndio maana yule mzee aliuwawa kitahisi sana jamaa wakapiga mkono gari direct likasimama akashushwa
 
Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani. Tundu lissu kapitia mengi

Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa compromised.

Na siku ikifanyika. Watu hamtaamini macho yenu.

Kikulacho ki nguoni mwako.
Mbowe angetaka Lissu apoteze uhai, asingehakikisha amesafirishwa hadi Nairobi.

Kuweni na aibu kidogo.

Amandla...
 
Back
Top Bottom