Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Tunaambiwaga humu jamvini Rais ana vyanzo vingi vya taarifa au haipo hivyo?....Ina maana Magufuli aliamini chanzo kimoja tu au vyote vilimuambia Lissu ni adui yake?...Magufuli alijua adui yake ni Lissu kutokana na wasaidizi waliokuwa wanampa habari potofu. Hawakujua