Lema aondolewe mstari wa mbele wa mapambano haraka ataharibu morali ya wapambanaji vitani wanapigwa risasi

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
4,675
Reaction score
6,428
Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .

Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .

Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa Heche anayeshambuliwa na Kila siku.

Ukiona mwanajeshi anaamua kupambana vita vyake binafsi bila amri za makamanda huyo hafai atasababisha wenzake kushambuliwa na ndicho alichofanya lema

Ni kikao kipi Cha chama kilichompa lema maagizo ya kuongea makamu Rais Nchimbi .

Kwa sasa wanamtandao wameshajua Siri nyingi za kambi kisa muoga mmoja

Hakuna asiyejua vita ni Kali na MAADUI ni wakatili kuliko Hitler lakini huwezi kuonyesha uoga hadharani kama askari wa mstari wa mbele

Lisu alielezea mapema changamoto kubwa watakazokutana nazo kwenye mapambano ya kudai haki.

Kama mambo mengine yanajadiliwa kwenye vikao vya ndani wanaona kabisa vita imeshawalemea lakini huwezi kutangaza hadharani.

Ukweli ni kwamba MAADUI wa haki wamebanwa kama paka kwenye Kona na wamekuwa hatari zaidi lakini sio sawa kuonyesha uoga kwenye mapambano makali.

Lema angetafuta namna kuondoka kwenye mstari wa mbele kimya kimya bila kutaka kutisha wengine.

Lema amewahi kusema DHAMBI kubwa kuliko zote ni uoga lakini Leo ametenda DHAMBI hiyo hadharani.

Ukishakubali kuwa mstari wa mbele umeamua mambo mawili kufa au kupona .

Vile vile hata fursa zikitokea nyie ndo wa kwanza kufaidi hivyo

Lema ungesubiri vikao vyenu uelezea uoga wako na kukata kwako tamaa kwenye vikao vya ndani sio kutangaza hadharani

Ulichofanya hakina busara yoyote zaidi ya ujinga na uoga utaohatarisha wenzako kushambuliwa vibaya .

Umetoa code nyingi sana Kwa upande wa pili watakazotumia kujua Nini mnachokiogopa Kwa sasa

Uzuri upande wa pili wanaangalia muoga Ili watumie

Katiba mpya utawala wa haki na kidemokrasia ni Kwa faida ya Taifa Zima sio chadema Wala ccm tu
 
Lema ni kirusi hatari
 
Nipo namsikiliza Dr slaa hapa kwa kweli Lema ametuangusha sana sanaa

Lema kazingua big Time big time amegeuka kuwa adolescence
 
Kwanza kabisa nikili mimi sio mwandishi mzuri kitu kitakachopelekea ujumbe usifike kama nilivokusudia
Alichoongea lema nahisi yupo sahahihi kwasababu chadema ni sehemu ya demokrasia mtu anapaswa kuonesha mawazo tofauti na hatupaswi kumfanya lema kakosea kama ccm walivofanya kwa nchimbi
Lema inaweza ikawa ana wazo bora aitwe asikilizwe hata sisi hatutamani watu waendelee kupotea inachotakiwa ipatikane njia bora itakayolinda viongozi dhidi ya hii adha
Mwisho maridhiano na serikali yatapatikana kama kamati imejiridhisha na wasuruhishaji
 
Pamoja na kuwa kwenye siasa kwa miaka mingi lakini bado ameonyesha imarturity ya hali ya juu na uwezo mdogo wa kuvumilia vitu. siyo kila kitu ni cha kujibiwa.
Pengine Kuna mambo ya Siri hutuyajui
 
Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .

Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .

Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa Heche anayeshambuliwa na Kila siku.

Ukiona mwanajeshi anaamua kupambana vita vyake binafsi bila amri za makamanda huyo hafai atasababisha wenzake kushambuliwa na ndicho alichofanya lema

Ni kikao kipi Cha chama kilichompa lema maagizo ya kuongea makamu Rais Nchimbi .

Kwa sasa wanamtandao wameshajua Siri nyingi za kambi kisa muoga mmoja

Hakuna asiyejua vita ni Kali na MAADUI ni wakatili kuliko Hitler lakini huwezi kuonyesha uoga hadharani kama askari wa mstari wa mbele

Lisu alielezea mapema changamoto kubwa watakazokutana nazo kwenye mapambano ya kudai haki.

Kama mambo mengine yanajadiliwa kwenye vikao vya ndani wanaona kabisa vita imeshawalemea lakini huwezi kutangaza hadharani.

Ukweli ni kwamba MAADUI wa haki wamebanwa kama paka kwenye Kona na wamekuwa hatari zaidi lakini sio sawa kuonyesha uoga kwenye mapambano makali.

Lema angetafuta namna kuondoka kwenye mstari wa mbele kimya kimya bila kutaka kutisha wengine.

Lema amewahi kusema DHAMBI kubwa kuliko zote ni uoga lakini Leo ametenda DHAMBI hiyo hadharani.

Ukishakubali kuwa mstari wa mbele umeamua mambo mawili kufa au kupona .

Vile vile hata fursa zikitokea nyie ndo wa kwanza kufaidi hivyo

Lema ungesubiri vikao vyenu uelezea uoga wako na kukata kwako tamaa kwenye vikao vya ndani sio kutangaza hadharani

Ulichofanya hakina busara yoyote zaidi ya ujinga na uoga utaohatarisha wenzako kushambuliwa vibaya .

Umetoa code nyingi sana Kwa upande wa pili watakazotumia kujua Nini mnachokiogopa Kwa sasa

Uzuri upande wa pili wanaangalia muoga Ili watumie

Katiba mpya utawala wa haki na kidemokrasia ni Kwa faida ya Taifa Zima sio chadema Wala ccm tu
Mi Lema nilimfuta kwenye watu wenye akili timamu toka alip ropoka kuwa Mama ntilie,bodboda na wengine waangaikaji nikamtoa mazima kwenye akili yangu na sijui alitaka kila mtu awe jambazi kama yeye.
 
Ni kweli alikosea kutukana kazi za watu zinazowapa kipato Cha familia zao

Kila jambo li ngazi yake ya kukua

Ila ukweli boda boda na mantilie sio ajira za kudumu au mdadala kwenye taifa la kisasa
 
Lema ajiondoe mwenyewe Chadema kwa sababu anachokipigania Chadema si kile ambacho Chadema ya Lisu na Heche inakipigania.Chadema ya Lisu na Heche inapambana ili Tanzania ifanye mabadiliko ya Kimfumo,mabadiliko ya Institutional design . yataleta Uwazi,Uwajibikaji na kuhakikisha kamwe yaliyotokea Tanzania kwenye Uchaguzi,Mahakama,Vyombo vya Dolo,Dini,Civil Service,Serikali za Mitaa hayawezi kujirudia,Iwe CCM,Chadema au Chama Chochote kinaongoza Tanzania.Lema,Mbowe,hivi vyama vyote fake vya Upinzani vinapinga,Vinasapoti njia ya kuhakikisha Survival ya CCM ambayo ni kuhakikisha CCM Ina survive kwa mbinu zile zile.Kutengeza vya vya Upinzani fake,Utawala wa Sheria ambao kazi yake ni kuadhibu Wapinzani wote au watu wenye mitazamo tofauti na CCM na kuwalinda CCM na wale wanaofaidika na Mfumo.Chadema ya Lisu inataka Mahakama iwe na meno ya kuuma na ndio maana Lisu akasema hataki kuombewa msamaha,akikutwa na kosa afungwe,CCM ,Lema,Mbowe na vyama vingine vya Siasa vinataka kama Lema anavyotaka,kupigia watu Simu na kutofuata utaratibu wa Sheria pale unapokamwatwa na Mahakama zinazopewa Amri na Wanasiasa.Press yake yote imethibitisha jinsi Lema anavyofanya kazi ya CCM kupingana na Chadema ya Lisu na Heche..Lema yuko busy kuivuruga Chadema na kuonyesha kuwa Heche hana uwezo Kama vile tulivyodhani,anathibitisha kuwa amefanikiwa kuonyesha umma kuwa Mange ni Muongo,CCM ndio wanachofanya kila siku eroding trust,Press Conference yote imethibitisha na yote.Heche na Msigwa na wapenda mabadiliko wamepata u rahisi sasa wa kufahamu Lema na Wafuasi wake hivyo ni rahisi wao kufanya maamuzi.Kitila Mkumbo amekuja kuthibitisha haraka badala ya Press ya Lema kwa kusema kuwa hakuna Mbadala wa CCM,Period..Hicho ndio CCM,Mbowe,Lema,ACT Wazalendo na vyama hivi vingine fake vinataka.Maridhiano fake,Hii ya kuteka,kukata watu vichwa ni kuwafanya Chadema na wapenda mabadiliko wakate tamaa,jinsi Chadema inavyokaza/Wanaharakati wanavyokaza ndio na wao wanaongeza moto,Lisu alilifahamu hilo ndio maana akasema huko tunakoenda kutakuwa kugumu.
 
Fact,
Hii chadema ya lissu na heche ni kazi na mabadiko ya kimfumo ndani ya nchi

Chadema ya mboe ilikuwa pesa kwanza

Hapo ndo lema anaona.maji yanazidi unga aondoke
 
Back
Top Bottom