Hataki mabadiliko ya Mfumo,yeye anataka tutumie hekima na njia za panya,hana tofauti na ACT Wazalendo ambao wanafanya kazi ya Kitume kuwasaidia CCM kuhakikisha kamwe Tanzania hakuna electoral reforms,wanatumia njia za kijanja Kama Lema,Wanashiriki Uchaguzi na kuja na vijisababu vizuri kuhalalisha na kupumbaza Watanzania wasitambue nie yao,Uchaguzi ukishafanyika wanarudi kwa Wananchi kulalamika,indirectly wako busy kupinga mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi,wakiona Watanzania wanaanza kuwastukia na CCM inaonekana Kama imeshikwa vibaya,ACT Wazalendo wanarudi kwenye kudai na kuungana na Watanzania kudai mabadiliko