kachwankizi
Member
- Sep 9, 2024
- 95
- 151
NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao.
Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii huamini kuwa mwanamke ameonewa. Tena mjadala wako ukilalia upande wa mwanamke basi unaonekana wewe mtetezi wa haki Za binadamu au jinsia.
Uamuzi wa kweka unamsongo wa mawazo unaosababishwa na jamii kumuacha.
Kama ni kweli ebu fikiria mke wako anaongea mbele yako na wapenzi wake kwenye simu kuhusu masuala ya mapenzi yao ni maumivu kiasi gani Kweka ameyapitia.. Jamii impe kweka nafasi ya kufunguka alafu kila mti avae viatu vyake.