Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua jama si waleo au wa kesho maisha haya.
Huyu dada alieleta hi stori haijafahamika ni kweli au lah
Huyu dada alieleta hi stori haijafahamika ni kweli au lah