LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Huyo mke kama alifanya hivyo ni kwa hofu tu. Anaona mume akifa atatimuliwa aondoke na kuiacha nyumba hiyo. Kuna ndugu za waume huwa na ushenzi kutimua wajane wanapoona ndugu yao kafa wanamuona mke wa marehemu hana thamani tena kwenye ukoo wao. Huwa wanaamini ataolewa tena na maisha kuendelea kama kawaida huku njemba mpya ikifurahia nyumba ya mwanaume mwenzake