Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
Hapana.We jamaa wewe yule wa mwanza alie muua mkewe ulisikia sababu?
Hapana.We jamaa wewe yule wa mwanza alie muua mkewe ulisikia sababu?
Hawa ndio wazee wakulia lia tu nakukimbilia ukweni kishtakOa uone shughuli
Basi tulia sasa eti mkuuHapana.
Haya nimetulia.Basi tulia sasa eti mkuu
Halafu imeganda kama jiwechai
Lala kabisa hujui mambo mkuuHaya nimetulia.
Ni umbea tu bwasheeUkweli wa tukio lote anaufahamu mhusika na mke wake. The rest ni umbea tu.
Bila kupepesa macho n kwamba hati ilikuwa na jina la mume kama mmiliki bila kumhusisha mwanamkeKwani akiwa na Kansa na hati ikabaki na majina ya mme, mke na watoto panakua na shida?
Hakuna shida, wewe uwe chini Mimi niwe juu. Nadhani usingizi utakuwa murua sana, ama siyo?Lala kabisa hujui mambo mkuu
Ina mana mke hakuona mwanzo hati imeandikwaje? Nini kimempata hadi kubadili?Kubadili jina kwenye hati maana ake jina la mwanaume lilikuwepo kama mmiliki wa nyumba, sasa mwanamke alitaka kubadili ili ionyeshe yeye ndie mmiliki.
Wanaomtetea huyo mwanamke mbona hii hawaizungumzii.
Alichofanya huyo mwanaume ni sahihi 100%
Kumbe sio tu hujui mambo Bali ni mtoto na una akili za kitoto, samahan mkuu nikuulize swalindogo tuHakuna shida, wewe uwe chini Mimi niwe juu. Nadhani usingizi utakuwa murua sana, ama siyo?
Alishaona kifo cha mwanaume kama kweli h mada n ya ukweliIna mana mke hakuona mwanzo hati imeandikwaje? Nini kimempata hadi kubadili?
Kitendo cha kumhusisha mwanasheria Ina mana mume hakuridhia hati ibadilishwe, Kwa nini mke alilazimisha, kwanini asinge mshawishi mumewe kama alikua sahihi?Alishaona kifo cha mwanaume kama kweli h mada n ya ukweli
Mkuu kila jambo lina story yake. Inategemea msimuliaji wako amekuletea kwa namna gani.Ni kweli kaka lakin Amina nakwambia Kuna mengi tutayajua Kuna picha nimeona wamepiga familia wakiwa na watoto wao, wadau mtandaoni wakadai katika wale watoto wengine hawafanani na mwana pale kapigwa hii inshu tutasikia mengi usaliti nk ukiona mwanamke ana taka taka sa zingine jua mbadala wako kesha patkana
Oa uone shughuliHawa ndio wazee wakulia lia tu nakukimbilia ukweni kishtak
Siyo kwamba sijui mambo mkuu, tatizo Jana sikuwa na mudi ndiyo maana sukuperform kwenye mchezo, mkuu.Kumbe sio tu hujui mambo Bali ni mtoto na una akili za kitoto, samahan mkuu nikuulize swalindogo tu
Mkuu we tulia utajuzwa mengi hujasikia pia walikua na madeni ya kufa mtu?Mkuu kila jambo lina story yake. Inategemea msimuliaji wako amekuletea kwa namna gani.
Kwasababu ya hili tukio tu watu wameshaanza kuchunguza sura za watoto kama wanafanana na mshkaji yote ni kujaribu kutengeneza story ya chanzo cha tukio.
Mkuu nakusapoti mkuu Kuna muda nilikua namuonea Mzee wangu huruma Yani dahOa uone shughuli
We ni team anko t, au hasimi wake dudu baya namanisha shoga mana unajua mi ni me unaanza stori za kunyanduana na unajua mi ni me we si shoga wewe chokooooo mkubwa, potea hapaaaaaaaa, stupidddddddSiyo kwamba sijui mambo mkuu, tatizo Jana sikuwa na mudi ndiyo maana sukuperform kwenye mchezo, mkuu.
Ok, uliza tu, kuwa huru.