Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
Mimi nakupa real storry washkaji zangu wengi walikuwa wa umri wa mzee wangu nakula nao mtungi na nawapeleka hadi home ila hali zao zilichagizwa zaidi na mapenzi wengi walijuta kuoa.Mkuu nakusapoti mkuu Kuna muda nilikua namuonea Mzee wangu huruma Yani dah
Maana wengi walikuwa walevi kwasababu ya stress za familia