Mapya yaibuka kuhusu jane alipigwa risasi na mumewe dada yake bella afichua haya

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.

"Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili." Amesema

Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe.

Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe

Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa hivyo washughulike na aliyechukua mkopo.

Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi.

Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa.

Huyo dada alikuwa zaidi ya shetani asee
 
"Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili." Amesema Huu ni wizi kama wizi mwingine
 
Hii ni version ya ngapi ya hii stori. Mbona in remix nyingi sana! Yote kwa yote kwenye tukio hili lazima kuna mkasa mkubwa. Mpaka mtu anafikia hatua ya kuua na kujisalimisha polisi lazima kuna jambo alishindwa kustahimili.

Amri za Mungu; imeandikwa: Usiue
 
Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hii ni baada ya Jane kubadilisha umiliki (hati) ya nyumba na kusoma jina lake na jina la watoto wake kinyume na matakwa ya mumewe Laurent Kweka ambaye kimsingi ndiye mmiliki halali wa nyumba hiyo.

"Nisiwe muongo, ni kweli Jeni alinieleza kuwa ni kweli ameshughulikia hati na hati ya nyumba hiyo imetoka ikiwa na majina ya watoto wao wanne, na jina lake yeye akiwa msimamizi wao, jambo ambalo alidai lilipingwa na mume wake aliyekuwa akitaka hati hiyo iandikwe kwa majina ya wanandoa hao wawili." Amesema

Jeni kwa sababu zake binafsi hakutaka kabisa hati za umiliki wa mali ikiwemo nyumba hiyo yenye thamani ya inayopindukia milioni 350 viwe na jina la mumewe.

Kwa mujibu wa Bella, baada ya hati hiyo kutoka, Jeni aliwahi kusema anaamini mume wake angeweza kumuua kutokana na kitendo alichofanya cha kubadili hati hiyo ya nyumba bila idhini ya mumewe

Aidha Jeni alienda mbali zaidi akachukua mkopo bila ridhaa ya mume wake ba bila kumjulisha. Hata hivyo Mkopo alishindwa kurejesha, na walivyo mtafuta mume wake aka wajibu yeye hana pesa hivyo washughulike na aliyechukua mkopo.

Jeni, mzaliwa wa Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, aliuawa kwa kupigwa risasi na mume wake alfajiri ya Alhamisi, Oktoba Mosi, 2026, nyumbani kwao Bunju, baada ya kutokea kwa tafrani ndani ya chumba walichokuwa wakiishi.

Akizungumzia mazishi, baba mdogo wa marehemu, Joseph Urassa, amesema familia ya kwao imeamua kumzika Jeni nyumbani kwao, kama alivyokuwa ameomba kuwa siku akifa asizikwe nyumbani kwa mume wake... Kwa upande wake, Mwenyekiti wa ukoo wa familia alikoolewa, Mchungaji Tumsifu Kweka, amesema familia yao haitalumbana na familia ya Urassa na itaheshimu taratibu zitakazokubalika kuhusu mahali marehemu atakapozikwa.

Huyo dada alikuwa zaidi ya shetani asee
Umeacha kuweka interview yote ili ujichagulie ya kusema na kupindisha pindisha maneno.

Mkopo ulichukuliwa kumaliza ujenzi wa nyumba na kulipa ada za watoto maana mume alishaishiwa, mbona hayo mambo na madudu mengine ya Kweka hujayasema na dada ameyaelezea?

View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?is=7MYsIz_38bPqZMY8

Mnashupaza vichwa kama vile hiyo nyumba ilijengwa na mume peke yake. Wengine hata hamjaona kwamba nyumba yenyewe bado ilikua haijakamilika finishing na ni wazi kulikua na changamoto nyingine za kiuchumi.

Mke hakuwa mkamilifu na ana makosa yake ila acheni kutetea upuuzi wa muuaji.

R.I.P Jane Maloo Urassa 🪦💔
 
Msiandike sana mtayumbisha ndoa za wengi, hata watoto nahisi jamaa aliingiwa hofu huenda si wakwake, yaani mke anahudumiwa kwa chakula, malazi na mavazi ila Bado anaenda kukopa fedha benki tena kwa Siri na kubadilisha jina kwenye hati ya nyumba pasipo kumshirikisha mumewe....hicho kiburi na jeuri nani alimshauri huko nje?..

Hata ningekuwa Mimi pengine ningefanya unyama zaidi ya huo🤔🤔🤔, tunaoana lakini ni hatari sana aisee
 
Mkopo ulichukuliwa kumaliza ujenzi wa nyumba na kulipa ada za watoto maana Kweka alishaishiwa, mbona hayo mambo na madudu mengine ya Kweka hujayasema na dada ameyaelezea?

View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?is=7MYsIz_38bPqZMY8

Mnashupaza vichwa kama vile hiyo nyumba ilijengwa na mume peke yake.

Mke hakua mkamilifu na ana makosa yake ila acheni kutetea upuuzi wa muuaji.

R.I.P Jane Maloo Urassa 🪦💔

Apumzike mahala pema kipenzi chetu Jane Urassa

Madudu ya 😫💔 cc cocastic paparazzi asije nogewa na bufee za huko Moshi
 
Msiandike sana mtayumbisha ndoa za wengi, hata watoto nahisi jamaa aliingiwa hofu huenda si wakwake, yaani mke anahudumiwa kwa chakula, malazi na mavazi ila Bado anaenda kukopa fedha benki tena kwa Siri na kubadilisha jina kwenye hati ya nyumba pasipo kumshirikisha mumewe....hicho kiburi na jeuri nani alimshauri huko nje?..

Hata ningekuwa Mimi pengine ningefanya unyama zaidi ya huo🤔🤔🤔, tunaoana lakini ni hatari sana aisee
Itakuwa hata hao watoto mwamba apime vinasaba
 
Umeacha kuweka interview yote ili ujichagulie ya kusema na kupindisha pindisha maneno.

Mkopo ulichukuliwa kumaliza ujenzi wa nyumba na kulipa ada za watoto maana mume alishaishiwa, mbona hayo mambo na madudu mengine ya Kweka hujayasema na dada ameyaelezea?

View: https://youtu.be/T_rAcK8HiN0?is=7MYsIz_38bPqZMY8

Mnashupaza vichwa kama vile hiyo nyumba ilijengwa na mume peke yake. Wengine hata hamjaona kwamba nyumba yenyewe bado ilikua haijakamilika finishing na ni wazi kulikua na changamoto nyingine za kiuchumi.

Mke hakuwa mkamilifu na ana makosa yake ila acheni kutetea upuuzi wa muuaji.

R.I.P Jane Maloo Urassa 🪦💔

Kawaida yenu wanawake tukimaliza hela mnaanza dharau, sasahivi ni mwendo wa shaba tu
 
Back
Top Bottom