Hatma za Watekwaji: mamba, chatu, vinu vya saruji, risasi, shimo la Mungu......

Hatma za Watekwaji: mamba, chatu, vinu vya saruji, risasi, shimo la Mungu......

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Shimo la Mungu lipo Mtwara, wilaya ya Newala jirani na makazi ya alyewahi kuwa Waziri wa Utawala Bora ndg Mkuchika....

Hatma ni nyingi kwa watekwa nyara na serikali hii...
 
Imagine Sativa walitaka afanywe nini na fisi, simba au mamba?

Halafu jiulize ni wangapi wanafanyiwa hivyo. Mimi jamaa jinsi ambavyo huwa anatukana huwa naona yupo sawa tu.
Kutukana hajaanza baada ya "kutekwa", hivyo hatukani kwa sababu alitekwa
 
Back
Top Bottom