Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
Historians wanalijua hili.
The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU.
Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
Nyerere aliianzisha CCM.
Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia.
Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi.
Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi.
Kwa hiyo lolote...
Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana"
Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli.
Akaangalia mabadiliko...
Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM
Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya...
Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia.
Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
Leo Katika taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, nimemuona mama yetu mama Maria Nyerere akipokea picha ya mwalimu Nyerere toka Kwa mpiga picha mzungu.
Kusema ukweli nimefurahi sana kumuona bado yupo imara.
Tena ametoa bonge la maoni juu ya maendeleo ya nchi Kwa Sasa.
Hii...
Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi kuwa, nyumba aliyoshambuliwa Mh. TUNDU LISSU haikuwa yake Bali ilikuwa ya Mh. FREEMAN MBOWE ambaye ni...
Huyu jamaa huwa nilianza kumtilia mashaka na uwezo wake juu ya uandishi wa vitabu vyake, hasa pale baada ya kushindwa kuchochechea mijadala ya uchaguzi ndani ya CHADEMA, yeye
Kama ni miongoni mwa mwandishi wa vitabu Afrika na kuchukua tunzo mara mbili.
Alishindwa kutumia kalamu vizuri...
Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi, Mkapa au Kikwete?
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/sgr-expansion-fourth-emu-train-passes-final-tests-4875584
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.
Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.
Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga...
Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko.
Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano
Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi...
Kumbe Yericko Nyerere na makaratasi yake yale anayoyaita vitabu kama alivyosema Dkt Lwaitama anaibaiba huku na kule kazi za watu na kujifanya msomi wa mambo ya Ujasusi na mshauari wa Mbowe wa kumtukana ovyo Tundu Lissu.
Genge linalomuunga mkono Mbowe ni la watu wa ajabu ajabu sana ndio...
Dr.kwaitama ambaye nimpigania demokrasia na mwumini wa mageuzi hapa nchini amesema kwamba yeriko Nyerere ni tapeli na hafai kwenye jamii ya watanzania kwani amekuwa kigeugeu katika misimamo yake hasa kwenye upande wa siasa, mwandishi huyo wa vitabu vya ujasusi amekuwa akitoa lugha za kashifa...
Kusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii, tunahitaji kuchekeshwa sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.