KUMBUKUMBU YA DAR ES SALAAM DOCKWORKER'S UNION 1948 KATIKA NYERERE SQUARE DAR ES SALAAM 2022
Hapo Nyerere Square palipojengwa jengo la kuvutia mwaka wa 1948 palikuwa na jengo la mbao na paa la mabati.
Katika jengo hilo ndipo ilipokuwa ofisi ya Abdul Sykes Secretary General wa Dar es Salaam...
Mwl Nyerere aliweza kutabiri kwa usahihi kabisa wangetokea Wanasiasa wajinga,wapuuzi ambao kazi kubwa ngekuwa kusifu tu.
Dr Kigwangallah,Msukuma,Kibajaji .....
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.
Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya.
Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi.
Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake.
Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka...
Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu.
“Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo.
Kenya wamewahi kwa...
Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa akaunti baada ya kukuta picha ya Samia Suluhu Hassani na Dkt. Mwinyi kwenye Benki ya Zanzibari. Hii ina maana nyie hamtambui ya kuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na Zanzibar?
BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.
Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?!
Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula.
Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha.
Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
Huyu mzee ndio GENIOUS SISI LEO TUNAIAHI VIZURI ILA ALIKAA NA WAZUNGU KWA AKILI ZAKE NYINGI AKACHUKUA NCHI ANGEAMUA KUWA DICTATOR ANGEWEZA ILA MIAKILI YAKE NCHI NZIMA TUNA UHUURU WETU RESPECT TO THE FATHER OF THE NATION
Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT).
Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA)
Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere.
Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.