Julius Kambarage Nyerere nilimuona mara nyingi akihutubia pale ikulu Dar miaka ile ya 1980 mwanzoni. Alijaliwa ushawishi katika hoja zake. Siku moja alihutubia kwa muda mrefu kidogo halafu ndege ikawa inakatiza juu angani, akasema Mungu ameileta ile ndege ili mimi nimalize kuhutubia!, wote...
Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa.
Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka...
Godbless Lema shukuru sana Nyerere hayupo hai angekufunza adabu. Wewe umekuwa mtu wa kudharau fedha inawezekanaje useme million 12 ni hela ndogo sana kwako ilihali fedha ni mali ya serikali? Wewe huna tofauti na Prof Tibaijuka aliyesema mil 60 kwake ni hela ya mboga.
Serikali inapaswa...
Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”. Je, Kuna nini nyuma ya jambo hili la kihistoria?
Kwa mtazamo wangu Nyerere na Mkapa (kwa kiwango kikubwa)...
Kulikuwa na vyama viwili TANU & UTP, Baada ya kushinda ubunge akaenda UN kuishtaki UTP iachie nchi, akashtakiwa kwa uhaini na kuzuiwa kufanya mikutano ya hadhara, akajiweka karibu na mkoloni TANU ikashinda majimbo 70/71.
Je, kwanini Nyerere hakuitisha maandamano kuindoa serikali ya kikoloni?
Nautafakari sana huu unabii wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Awali tuliamini labda Mwalimu Nyerere alimaanisha hawa akina Dr. Lyatonga Mrema au Dr. Slaa au hata Mzee Lowassa kumbe siyo.
Ndio nafanya utafiti nione huo Upinzani utatokaje ndani ya CCM yenyewe?
Je, wahafidhina wa CCM ni...
Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna...
ALI MSHAM, JULIUS NYERERE NA WANACHAMA WA TANU WA TAWI LA MTAA WA JARIBU MAGOMENI MAPIPA 1954
Watoto wa Ali Msham walizihifadhi picha hizo hapo chini kwa zaidi ya miaka 60.
Miongo sita imepita hadi picha hizi kufika mikononi kwangu na ndiyo ikawa sababu ya historia ya Ali Msham mzalendo...
Sisi wapare kutokana na kuchapa kazi sana na kutengeneza barabara kubwa nzuri pana mpaka milimani nyerere alifanya ziara ya kikazi miaka ya 70 na akawaita wapare ni wachina wa Tanzania. Mpaka leo hii wapare wanajulikana kama wachina wa Tanzania.
Desemba 22,2022 Mhe. Rais Samia Suluhu alizindua zoezi la kuanza ujazwaji maji kweny Bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere. Hadi sasa mradi umebakiza asilimia 18 kukamilika huku ujazo wa maji ukiwa ni zaidi ya mita 133 kutoka usawa wa bahari.
Ujazo wa Bwawa la Nyerere lina ujazo wa lita...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini iliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023. Kwenye hotuba yake Rais Samia anasema wakati anakabidhiwa madaraka jambo lililokua linamuumiza kichwa ni...
Rais Samia amesema wakati anakabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, mradi wa bwawa la Nyerere na SGR vilimuumiza kichwa kwa pesa zilizokuwa zinahitajika lakini sasa anazo pesa mpaka za kuifikisha Kigoma. Pia Rais Samia ameahidi umeme kutoka bwawani mapema mwakani.
"Kila nikiangalia mapesa...
Baada ya Ben Mkapa hakutokea tena Rais ambaye alikuwa na akili katika hotuba.
Mkapa alikuwa kichwa, alikuwa na akili bahati mbaya tu alikuwa chama ambacho hakitaki watu wenye akili kuwa nazo au kuzitumia.
Sikiliza Rais akiongea..................................
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.
Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona...
Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
TAZARA imesema imenunua behewa lenye uwezo wa kubeba tani 200 litakalotumika kubeba mizigo ya bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere iliyozidi uzito au upana wake unazidi kiwango cha upana unaopaswa kusafirishwa kwa barabara.
Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani...
Kipindi Cha azimio la Arusha wazungu wengi walifukuzwa Ila Cha ajabu wakabaki wahindi Leo hii wahindi na wakifuatiwa na warabu ndo wamekamata biashara kubwa na Wana ukwasi Mkubwa
Maajabu ya mhindi/mwarabu hata nyumba ajengi Yuko tayari kuishi kwenye nyumba za NHC au kupanga kule kariakoo au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.