Mungu ibariki Tanzania🇹🇿
Julius Kambarage Nyerere.
1. Kiongozi aliyekuwa mzalendo wa kweli.
2. Kiongozi aliyewapenda Watanzania na kuwalilia siku zake za mwisho.
3. Kiongozi aliyekuwa na msimamo na mjamaa wa kweli.
4. Kiongozi aliyelinda raslimali za ndani kwa nguvu. Hakuwa na haraka ya...
Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete.
Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo.
Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
Ndugu zangu tusipige tu kelele kama watu wasiokuwa na mwelekeo bali tulitazame sakata la Wafanya biashara wa kariakoo kwa Angle kubwa ikiwemo athari za Kiuchumi, kisiasa na kiusalama ktk Nchi.
Natamani kusikia yule mtaalam wa uchambuzi wa siasa za kiintelijensia ya uchumi (financial matters)...
Ndugu Mo Dewji, Salim Tryagain na Mutaza Mangungu, Nini mnaweza kutuambia mashabiki tukawaelewa baada ya leo kuhitimisha msimu Simba ikikosa makombe yote? Simba imekosa ubingwa wa ngao ya Jamii, imekosa ubingwa wa Mapinduzi, imekosa ubingwa wa ligi kuu, imekosa ubingwa wa Klabu Afrika. Na sasa...
Kwakuwa Sasa Bwawa la Stiglers limebakisha MITA 8 za kujaa maji kiwango Cha kuzalisha Umeme, yaani imefika MITA 155.8, na tayari mpaka Sasa maji yaliyomo katika Bwawa Hilo Toka limeanza kujazwa mwezi wa 12 mwaka linafanya Kwa Sasa ndo Bwawa lenye maji mengi zaidi ya mtera , na Nyumba ya Mungu...
Mnamo mwezi wa Desemba mwaka wa 1966, Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere alizindua kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ya petroli jijini Dar es Salaam.
Hatua hii ilikuwa ni miongoni mwa jitihada za kujenga uchumi wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba rasilimali zetu za ndani zinatumika kwa...
Habari za wakati huu ndugu zangu wote.
Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii.
(Picha kwa hisani ya mtandao wa Google)
Kwa maneno mengine ninaweza kusema ya kwamba, mtu asiyefanya...
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa...
PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA
John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia University of East Africa, Dar es Salaam kuwa historia ya TANU iko katika mikono ya watu binafsi...
Wakuu kwema,
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea jumuiya hiyo kufutwa na BAKWATA kuzaliwa
Napenda kuuliza kuwa kama aliwahi kuwa na mgogoro na...
Part of the Speech Showing Marginalization of Undeveloped Countries by the Developed Countries - Citing an example in 1985/86 where we Doubled (Tanzania) the Production of Cotton and Alas !!! the Price of Cotton fell to Half. (The System must Change; A system organised for robbery - The Rich...
Viongozi mbalimbali nchini na nje ya Tanzania, wamehudhuria hafla ya utoaji tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu.
Hafla hiyo imefanyika leo Alhamisi 13, 2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam.
Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Rais Mstaafu wa...
Najiuliza Kama kipindi hicho angekuwa na Maono ya Hawa machawa sijui angesemaje - Sababu Kama Mjinga akiambiwa / akijifunza anaelewa;
Na Mpumbavu ni Kipaji yeye anabisha tu na akiambiwa haelewi nadhani ni Bora kuliko anayejua lakini anaendelea kufanya anchofanya huku akijua kina walakini...
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
==========================
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme...
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kufunga sehemu ya Terminal II kuanzia Juni mwaka huu kwa miaka miwili kupisha maboresho. Mkurugenzi wa TAA, Musa Mbura kasema shughuli zake zitahamishiwa Terminal III.
Terminal II ilijengwa miaka ya 1980, maboresho hayo yanakuja baada ya Rais...
habari za siku nyingi ndugu msomaji,natumai ni mzima na Mungu aendelee kutubariki.
Hivi karibuni msanii wa movie Steve nyerere alionekana akilalamika juu ya yale yanayofanywa na waumini fulani wa Ukristo kwamba ni sio sawa na ni kukashifu dini.
Aidha bwana huyu alikuwa akitolea mifano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.