Wakuu za jioni.
Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana.
Sasa nikifika uwanja wa nyie napita wapi na wapi hadi kufika mbezi?
Nawasalimu wanaJF.
Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania.
Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:-
1. UJINGA
2. UMASKINI
3. MARADHI
Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga...
Sehemu ya Mradi wa JNHPP katika Tuta Kuu ambapo ujenzi unaendelea.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi na tathmini ya Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (The Julius Nyerere Hydropower Project - JNHPP) uliopo Rufiji.
Akizungumza baada ya ukaguzi huo uliofanyika...
Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), limesema mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakuwa na manufaa makubwa manne ambayo ni kufua umeme, uvuvi, utalii na ufugaji.
Kauli hiyo wameitoa leo wakati wanazungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kumaliza ziara ya...
kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID.
Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi.
Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
Hii video ilishawahi kuwekwa hapa lakini hakuna ubaya kuirudia tena. Angalia pale sekunde ya 20 alivyopigiwa Saluti na Prince Charles ambaye sasa ndiye mfalme wa uingereza.
https://www.youtube.com/watch?v=0bSemyQSTv4
CCM heshimu busara za wazee tofauti na hapo hakuna mtakachofanya kikawa na baraka.
Bora hata magufuli alijaribu kufuata nyayo za huyu mzee. Nasikia hata huko TBC wosia wa baba unakuja kwa machale sana maana ni mwiba kwa CCM ya samia iliyo jaa wezi za mali ya umma..
Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo;
1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja
2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake
3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa
4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
Akili inakataa, kwa akili ya kawaida, si kila kinacholetwa na serikali ni lazima mtu akitii na kukipenda, Rais mwenyewe hawezi kukubalika na kila mtu, sembuse makosa ya kimkataba ya DPW?
Waliowahi kupinga ubinaifishwaji na uwekezaji kwenye miradi ya serikali, akiwepo Mwl JKN alijitokeza...
Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
Wakuu kwema?
Kuna sehemu nilisikia wana wanasema hili kuhusu Mbowe kuwa na uhusiano wa damu na Hayati Mwl. Julius Nyerere, wakawa wanasema hata jinsi Mbowe alivyofanana na Nyerere kwamba kuna uhusiano zaidi ya familia zao kuwa marafiki lakini kweli ni kwamba Mbowe ni mtoto wa Nyerere.
Eti...
Habari jf ,
1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni .
Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake...
Wakuu,
Nlikuwa nasikiliza hotuba ya baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa Julai 22 mwaka 1967 Baada ya kuwapokea Vijana waliotembea kwa Miguu kutoka Moshi.
Alikuwa anaongelea kuhusu wanasiasa kununulika, Yaani hawa wananunulia na kusaliti vyama vyao au jamii iliyowachagua...
Angalia mfano huu than connect dots, kwa kuangalia kitu kinachoitwa ujasusi wa kiuchumi.
1. Mimi ni Dubai ninataka kucontrol usafirishaji majini kwa Africa,
2. meli nyingi zinazotoka china kuja africa huwa zinapitia bandari yangu,
3. kuna uwezekano meli nyingi toka china zikapita bila...
Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo.
Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asimilia 90 huku shughuli ya kufunga mitambo ya kufua umeme pamoja na nyumba yake ikiwa imefikia asilimia 70
Akizungumza wakati akiongoza viongozi wa Baraza la Jumuiya ya...
Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo.
Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna.
Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.