Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Ajali imetokea jana, amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni...
Aisee leo nimetoka zangu ng'ambo tukafika kwenye Passport check nimekaa kwenye foleni ya Tanzania Citizens kama dak 20 jamaa wa uhamiaji alikua anamhudumia mdada alokua mbele yangu halafu hamalizi.
Kumbe muda wote jamaa linang'ang'aniza dem alipe namba linamchelewesha makusudi.
Mwishowe yule...
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake.
Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya...
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia.
We will update this.
Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted.
Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi.
Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika.
Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
Huu uzi ni maalum kuwapa maua yao wenzetu kwenye siasa, CHADEMA, kwa uzalendo mkubwa wanaouonyesha kwa nchi yetu ya Tanzania. Na pia kwa muda mrefu wameonyesha kuishi kwa vitendo kwenye maono ya baba wa taifa, Mwalimu Nyerere.
Wiki hii mara baada ya uteuzi na kukabidhiwa ofisi kwa katibu...
Historia ya Tanzania(Tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi Mwalimu Nyerere ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based.
Lakini napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani...
Kuna video inamuonesha mwandishi wa habari akihaha kumkimbilia Kocha wa zamani wa Arsenal ya Jijini London, Mzee Arsene Wenger kwa ajili ya kupata mahojiano mara baada ya nguli huyo kutua Airport ya JK Nyerere kwa ajili ya michezo ya African football league (afL).
Kichekesho ni pale Mzee Wenger...
Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika.
Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
Nilikuwa nasoma kitabu cha Marehemu Dr.Reginald Mengi kinaitwa
I CAN, I MUST,I WILL nikamnukuu akisema ndani ya kitabu chake tafiti zinaonyesha kwamba;
1. Bonde la mto Ruvu peke yake linaweza kuilisha Afrika Mashariki yote.Eneo la Kilombero linaweza kuilisha Afrika ya Kati yote kwa mchele.
2...
Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba 5, 2000. Aliishi miaka 74 ya machozi, jasho na damu.
Alizaliwa kwa jina la Titi Mohammed Salum...
Nyerere alifanya jambo moja tu zuri ktk taifa hili, nalo ni kuondoa ukabila na ukanda, hivyo kuwafanya watanzania kuwa wamoja. Lakini mengine yote alikosea.
Hivyo kuendelea kumuenzi mwalimu Nyerere ni sawa na kusema tuendelee kuyakumbatia mabaya yake yote. Ambayo ni:-
1. Muungano.
Lengo...
Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo.
DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
Alisaidia na kukomaa mataifa ya jirani yapate uhuru akasahau kabisa kuendeleza taifa letu.
Kauli mbiu ya kuwa sisi kuwa huru huku majirani zetu hawako huru sio vyema ilifanya akasau kuendeleza taifa letu.
Aliacha miundo mbinu iko hovyo, shule chache, hospitali chache na kila kitu kikiwa hovyo.
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali.
Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro...
Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania"
Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.