nyerere

  1. mdukuzi

    Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

    Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kuchukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta. Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima...
  2. mdukuzi

    Mwaka 1983 Lowassa alinunua suti pair 10 wakati Nyerere na Sokoine wakiwa na kaunda suti zaidi ya pair tano

    Mwaka 1983, Lowassa akiwa na miaka 30 akiwa ofisa wa CCM, walikwenda UK kwa training, alinunua suti jozi 10 kwa mpigo, kumbuka kipindi hicho nchi ilikuwa na makovu ya vita ya Uganda, Nyerere akiwa Rais, Sokoine akiwa Waziri Mkuu walikuwa na viatu jozi mbili na suti jozi nne au tatu. Tuliokuwepo...
  3. Mjanja M1

    Steve Nyerere: Hatuwezi kuingilia miamala ya nchi

  4. Nyankurungu2020

    Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji. Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa madarakani ilikuwa ni skendo za upigaji tu. kagoda, Richmond, Escrow na sasa Dp world ya Dubai. Hayati...
  5. DR Mambo Jambo

    Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

    Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi.. Kama tutakumbuka mwaka huo huo...
  6. Erythrocyte

    Lissu: Baada ya Nyerere aliyefuatia kwa ushawishi alikuwa Lowassa

    Tundu Lissu amefika kwenye Msiba wa Lowassa kuhani na kuwapa pole Wafiwa , ambapo amemmwagia sifa Lowassa na kuzungumza kwamba baada ya Nyerere Lowassa ndiye Mwanasiasa aliyefuatia kwa Ushawishi . Amedai kwamba wanasiasa wengi waliokufa na hawa waliopo walipata umaarufu baada ya kuwa...
  7. F

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mbowe, hawa ndio walezi wakuu wa kisiasa wa Edward Lowassa

    Miamba hii mitano ndio inayohusika kwa kiasi kikubwa zaidi na mwanzo hadi mwisho wa maisha ya kisiasa ya Edward Lowassa. Edward Lowassa alianza maisha ya siasa katika mikono ya Mwalimu Nyerere akiwa kijana mdogo miaka ya 60's. Mwaka 1988 Lowassa alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha...
  8. Pascal Mayalla

    Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake?

    Wanabodi, Tanzania tuko hapa tulipo kwenye lindi la umasikini uliotopea kutokana na kukosekana viongozi wa kutosha wenye boldness ya kuchukua maamuzi magumu!. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Pombe Magufuli, na huyu dogo Paul Makonda, ni miongoni wa watu wenye boldness ninayoizungumzia hapa...
  9. R

    Andrew Nyerere ni hazina ya Taifa, tuitumie

    Salaam,Shalom!! Nimekuwa mfuatiliaji wa mada nyingi anazoandika Mtoto wa Mwalimu, Ndugu Andrew Nyerere. Kuelewa anachokiandika au kukisema, unahitaji akili ya ziada kutafuta Maarifa ya kufungua codes za kauli na maandishi yake. Ndugu Andrew Nyerere, aliitumia Siku yake ya kuadhimisha Kuzaliwa...
  10. B

    Andrew Nyerere: Komredi Abdulrahman Kinana ni mchochezi

    Mtoto wa Nyerere aunga mkono maandamano nchi nzima Andrew Nyerere mwanachama wa CCM akizungumza katika mkutano wa ndani wa CHADEMA , amkosoa makamu mwenyekiti wa CCM- Bara komredi Abdulrahman Kinana kwa kutoa maneno yakichochezi dhidi ya haki ya CHADEMA kuandamana...
  11. Mpigania uhuru wa pili

    Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Uandishi sio mzuri mjitahidi Kabla ya Julius Nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;- Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle kila mtu alikua anataka awe kiongozi na hakuna mtu aliyeweza kuunganisha wanachama ambao walikua...
  12. N

    Toka awamu ya kwanza Mwl Nyerere, hadi Dkt Samia, Wilaya na Mkoa gani haujatoa Naibu au Waziri?

    Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
  13. Logikos

    Ujamaa wa Tanzania na Dini (Hotuba ya J. K. Nyerere - 1970)

    HOTUBA YA NYERERE NA VIONGOZI WA DINI TABORA 27/7/70 Key Take Away: NCHI ya Tanzania / TANU hazina Dini; Wananchi ndio Wana Dini... Kichama / TANU Hatujui kama Mungu yupo au hayupo (Hatuulizani); Tunaulizana Habari za Maji, Maharagwe na Mabarabara..... Lakini hatuulizi Kabisa kama ipo Pepo...
  14. Analogia Malenga

    Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  15. Mjanja M1

    Mtoto wa Nyerere alalamika Bajeti finyu Wizara ya Ndani

    Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Madaraka Nyerere amelalamikia ufinyu wa bajeti uliopo wizara ya mambo ya ndani. Nini maoni yako? Written By Mjanja1
  16. Mto Songwe

    Nguvu ya Waislam kupigania haki iliuliwa na Nyerere

    Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA. Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana...
  17. MALCOM LUMUMBA

    Wajamaa mnisaidie, hivi Nyerere aliwezaje kuvumilia haya?

    Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie. Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado hataki kubadilika na akaendelea kutumia mkono wa chuma kuhakikisha anasigina kabisa uwezo binafsi...
  18. The Burning Spear

    Hiki ndiyo Kibao cha kuonyesha Nyerere Road Pale Tazara Daraja la Mfugale

    Great Thinkers Hii ndiyo bongo aka nchi ya watu wasielewa wanataka nini. Mimi naamini uwekaji wa mbao za anwani ya makazi ulikuwa ni ufisadi uliopitiliza. Acha akina isack.mwigulu waje wachukue usukani wa baba zao. Imagine hiki hapa ndiyo kibao kuonyesha nyerere road pale mfugale afu kuna...
  19. Analogia Malenga

    Jenereta la kwanza la mradi wa Mwl. Nyerere kuanza kufanya kazi Januari 2024

    Jenereta ya kwanza kwenye Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye jumla ya megawati 2,115 itaanza kufanya kazi mwezi ujao, ikileta Tanzania karibu kufikia ndoto yake ya kumaliza ugavi usio wa uhakika wa umeme na kuwa nchi inayouza umeme. Ikiwa mtambo huu mkubwa utafanya vizuri...
  20. Mohamed Said

    Kipindi Maalum Leo Mchana Saa 8: Julius Nyerere Alivyochaguliwa Kuwa President wa TAA 1953

    KIPINDI MAALUM LEO MCHANA SAA NANE TBC1: JULIUS NYERERE ALIVYOCHAGULIWA KUWA PRESIDENT WA TAA 1953 Katika historia ambayo haifahamiki kabisa ni vipi Julius Nyerere alichaguliwa kuwa President wa TAA mwaka wa 1953 nafasi aliyogombea na Abdulwahid Sykes katika Ukumbi wa Arnautoglo...
Back
Top Bottom