Msikilizeni Mwalimu enzi za uhai wake kwenye Issue ya Wanyamulenge ambayo mpaka leo Viongozi wa Kiafrika wamekosa solution zaidi ya kuuwa Watutsi huko Kongo
https://youtu.be/lN4xauSXN7o?si=LpHu_r6GTALFayCw
SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA
Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha.
Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha...
Hii serikali imelewa na madaraka! Ni viongozi vipofu wasiojua watanzania wanataka nini? Tukiwaambia taifa liko gizani hakuna umeme hawaelewi wala kusikia! Tuliwaambia maisha mitaani ni magumu hela hakuna pamoja na watu kupambana hawaelewi. Wafanyabiashara wakisema dollar hakuna hawaelewi...
Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi.
Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi.
Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana...
Aliacha kujenga taifa lake akabaki kupigania uhuru wa mataifa ya nje ambayo hivi leo hayana msaada kwetu.
Kilichobakia ni kudharauliwa tu bila hata soni.
Tulionekana hatujui kiingereza, nchi inabarabara mbovu, shule mbovu huku watoto wakikaa nchini na kuvaa masempele mashuleni.
Wazimbabwe na...
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,
"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji...
Mradi wa Bwawa la Nyerere tuliambiwa ungekamilika June 2022, lakini haikuwa hivyo.
Hata hivyo mwezi wa 12/2022 bwawa la mwalimu nyerere lilianza kujazwa maji, ambapo Ili bwawa kujaa kabisa linapaswa kufikia Mita 184 kutoka usawa wa bahari.
Kusua kusua Kwa mradi na kuchelewa Kwa kufungwa...
Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo
Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
Balozi Said Shaibu Mussa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akijibu swali kuhusu sintofahamu ya sanamu la Mwl. Nyerere amesema;
Kwenye sintofahamu hiyo kuna waokubali kuwa sanamu lile linafafa na Nyeyrere na wengine wanaokataa.
Akisema kuwa Serikali...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameandaa safari ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere mnamo Machi 2, 2024 katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Februari 19, 2024...
Tafadhali MODS isichanganye uzi huu na hizo nyingine.
Sanaa ya kuchonga kwa kutumia bronze yawezekana ina chngamoto zake. Wadau wamekosoa sana sanamu ya Julius Nyerere iliyozinduliwa jana pale Addis Ababa. Hapa nawaletea sanamu ya Cristiano Ronaldo iliyosimikwa mjini Madeira Portugal mahali...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo.
Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo.
Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dkt. Biteko amepokelewa...
Mimi si muumini wa mambo ya mila, hasa kuhusu wafu, lakini kwenye hili la Nyerere naanza kujitafakari sanamu la Kigwangwala na kundi lake na lile la Ethiopia, hayafanani na Nyerere hata wa kulumangia!
Watengeneza Sanamu ya Nyerere wote waliojaribu wameshindwa kabisa kututengenezea sura yenye...
Juzi hapa niliweka thread JF iliyosema wengi wa matajiri wa Tanzania ni wanasiasa na sio wafanya biashara, nikiwa na maana kwamba utajiri wao haujatokana na kufanya biashara bali umetokana na nafasi zao za kisiasa au uongozi serikalini kujitajirisha - urefu wa kamba zao. Kwa wengi wetu huo ni...
Mwamba ni wa kitambo,
Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa
Mwamba anongozwa na akili na si mihemko na ndio maana nadra kusikia kafanya maamuzi ya hovyo
Mwamba...
Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024.
Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.