nyerere

  1. KING MIDAS

    Foleni ni kali sana Nyerere Road (Pugu Road) kama huna safari ya lazima usitumie njia hiyo leo tarehe 09.12.2023 kuanzia mchana

    Tangu saa nane kasoro kumi nimetoka Gongo la Mboto, mpaka sasa nimefanikiwa kufika Banana Ukonga ndio nimenasa hapa. Kama huna safari ya lazima, usitumie Nyerere/ Pugu ROAD tafuta njia mbadala. Chanzo cha foleni hakijulikani, nadhani labda mzimu wa Gongo la Mboto umekasirika, watu...
  2. R

    Tuzo Ndg. Yeriko Nyerere itupe funzo kuthamini 'big brains' wa ndani ya nchi

    Salaam, Shalom!! Nchi yetu imeng'ara tena katika bara la Afrika baada ya kijana Mahiri, ndugu Yeriko Nyerere kutuletea Tuzo Bora kabisa ya uandishi Bora wa vitabu kwa Afrika nzima. Tuzo hiyo imetolewa na Taasisi iitwayo, ZIKOMO AFRICA AWARDS yenye maskani yake nchini Zambia iliyotokewa...
  3. Mohamed Said

    Bibi Titi Mohamed Katika Kitabu Cha Jim Bailey "The History of Julius Nyerere"

    BIBI TITI MOHAMED KATIKA KITABU CHA JIM BAILEY "THE HISTORY OF JULIUS NYERERE" Nilimfahamu Jim Bailey kupitia kwa Ally Sykes alikuwa na mswada wa kitabu cha picha: "Tanzania: "The Story of Julius Nyerere," na alikuwa anatafuta mhariri wa kitabu hicho. Ally Sykes akanikutanisha na Jim Bailey na...
  4. F

    Historia ya Marehemu Bibi Titi Mohammed, Baba yake bibi titi alikataa mwanae asisome shule maana atakuwa kafiri. Nyerere alikosa waislamu wasomi wengi

    habari wadau. naonaga lawama nyingi za waislamu wakimlaumu Rais wa awamu ya kwanza Nyerere aliwabania kuwapa madaraka na fursa nzuri serikalini baada ya uhuru. Mzee wetu kipenzi Mohamed Said huwa analiongelea swala hili la nyerere na waislamu mara kwa mara. nimeshangaa kukuta maneno ya...
  5. G

    Je, ni kweli Mwalimu Nyerere alitumia mizizi ya Makobo kuwashawishi watu?

    Majuzi nilikuwa kijijini kwetu! Lengo kuu la safari yangu lilikuwa kuwasalimia ndugu na jamaaa, maana ni miaka mingi sana imepita toka nikanyage bush kwetu.Lakini nilipofika killage yalizuka mambo mengine ambayo sikuwahi kuyasikia wala kuyaota. Na moja ya mambo hayo yanamuhusu baba wa taifa...
  6. A

    Mr. Politician

    https://youtu.be/2461HqUizAw?si=HDdWnPB7oW94nwvz
  7. Poppy Hatonn

    DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

    Amwambia aondoke kijijini asirudi kamwe. Imetokea Jumatatu asubuhi[juzi],huyu DC[sijawahi kumuona,wala sifahamu jina lake] amemtuma mtu kuniambia ''DC amesema kuna tatizo fulani limetokea na anataka wewe uondoke hapa'' Mimi nikasema hakuna tatizo lililotokea. Halafu yule jamaa akasema,''Okay...
  8. Erythrocyte

    Sugu akutana na Mzee Joseph Butiku, atoa ofa kwa Taasisi ya Mwl Nyerere

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , amekurana na kuchota busara kutoka kwa Mwenyekiti wa Mwl Nyerere Foundation , Joseph Butiku , ambaye alifunga Safari kumtembelea Sugu Jijini Mbeya Watu hao wazito wamezungumza mambo mengi...
  9. Mohamed Said

    Safari ya kwanza UNO 1955 Nyerere alisafiri bila ya chanjo

    SAFARI YA KWANZA UNO 1955 MWALIMU NYERERE ALISAFIRI BILA YA KUPATA CHANJO Abdul Sykes anamwambia mdogo wake Abbas, ''Nyerere anasafiri kwenda UNO na lazima adungwe sindano (vaccination). Mimi siwaamini hawa Waingereza wasije wakamdhuru. Hakikisha kuwa Nyerere anapata ''vaccination...
  10. PILSNER

    Hongera Yeriko Nyerere kwa kutwaa Tuzo

    (hapa inakaaga salamu) Itoshe tu kusema ulistahiri TUZO hii. Tunaofuatilia kazi zako ni wengi kuliko idadi unayo kadiria. Umepeperusha bendera ya Tanzania ==== Leo nilifika mbele ya Wizara ya Wizara ya sanaa ambapo Wizara iliandaa hafla ya kuwapongeza Watanzania waliotwaa tuzo za Kimataifa...
  11. BigTall

    KERO Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kitulipe refund zetu

    Habari za wakati huu, Asilimia kubwa ya Wanafunzi tunaohitimu masomo ya Shahada ya Kwanza katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) ambacho kipo Kigamboni hatujalipwa fedha zetu za refund. Uongozi wa chuo ulituahidi kuwa utakuwa umekamilisha malipo yetu kabla ya Siku ya Graduation...
  12. BARD AI

    Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo. Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
  13. MamaSamia2025

    Kuelekea kumtangaza Mwl. Nyerere kama Mtakatifu, ninasihi Kanisa Katoliki wafanye jambo kwa ajili ya CCM kutambua mchango wa chama kwa Mwalimu

    Akiwa mwasisi wa CCM, Hayati Mwalimu Nyerere aliungwa mkono na chama kwenye uongozi wake hadi kukawa na msemo wa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"... Kwa hakika kwenye maisha yake CCM ilikuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere. Ninawasihi wakatoliki wafikirie kufanya jambo kwa ajili ya Chama Cha...
  14. C

    Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

    DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi. DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa) DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa) Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
  15. Pdidy

    Taifa stars iitwe Nyerere boys labda tutatoboa AFCON

    USHAURI TU Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu uwanjani uganda waliona hii vita isiwe taabu twende matuta Matutaa Karume Boys mabingwa congs sana...
  16. E

    Makonda atatua kero ya lift ofisi za CCM Mwanza

    Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere. Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na...
  17. Suzy Elias

    Ya nini huyo Makamu wa Mwenyekiti abembelezwe? Kawa Nyerere?

    Ifahamike, huyo Makamu si Hayati baba wa Taifa kwamba eti aendelee kubembelezwa kama mtoto. Yeye si lolote kwamba Chama na Taifa ki/litapungukiwa na kitu pasipo yeye. Nafuu na jambo jema ni kuwa hata boss wake ameamua kumfungia vioo na hataki tena kujishughulisha naye kwa namna yeyote ile...
  18. Mwande na Mndewa

    Nimejiridhisha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anastahili kuwa Mtakatifu

    Bahati mbaya vijana wengi waliozaliwa mwaka 2000 hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Mimi niliyezaliwa 1980 nilibahatika kidogo nyakati hizo nikiwa shule ya Msingi bungo pale Morogoro,nilipokuwa kiongozi wa chipukizi, nilipeana naye mkono mara moja japo alikuwa...
  19. Nyankurungu2020

    Mwenezi Paul Makonda akabidhiwa fimbo ya Hayati Mwl Nyerere. Aahidi kufuata misingi ya Mwl Nyerere

    MWENEZI MAKONDA AKUTANA NA FAMILIA YA HAYATI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametembelea Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere Wilayani Butiama Mkoani Mara ambapo amesalimu na...
  20. F

    Kuhusu Nyerere kutangazwa mtakatifu: Kanisa Katoliki mnataka watu wamwige Nyerere kwa lipi hasa? Umaskini, udikteta, ujamaa, ucheshi au nini hasa?

    Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa...
Back
Top Bottom