Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mh. DEOGRATIUS NDEJEMBI akiwa katika picha ya pamoja na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kuhitimisha kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya miaka 27 ya kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mjini Sumbawanga leo Oktoba 14, 2026.