Lawama zote hazimkwepi Mwalimu Nyerere kwa yanayoendelea nchi hii!

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Kataa au ukubali lawama kwa yanayoendelea nchi hii Nyerere hazimkwepi hata kidogo yeye anahusika kwa yanayoendelea wala tusifichane uungu mtu wake na kujifanya Godfather ndiyo imeifanya nchi hii iwe hapa

Umasikini,udini,unyonge,ujinga na katiba mbovu yeye ndiyo muhusika kwasababu hakutaka kushaurika laiti kama angekuwa anataka kushaurika na wenzie kama akina Kambona hii nchi ingekua mbali sana tena sana kwakuwa yeye alipenda kuwa Mungu mtu ndiyo nchi alipoifikisha hapa
 
Yawezekana ni kweli.Sasa,hayupo ila wewe na yule mpo.Mnafanyaje kubadilisha hali?Au muendelee kumlaumu na kumlaani marehemu ambaye hana uwezo wa kufanya lolote?
 
Back
Top Bottom