KIMBIA LAWAMA: Ifuatayo ni orodha ya watu hawapaswi kukopeshwa Fedha zako

KIMBIA LAWAMA: Ifuatayo ni orodha ya watu hawapaswi kukopeshwa Fedha zako

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,954
Chunguza vizuri sana..

Watu wengi sana wanalia fedha zao kudhulumika baada ya kuwaamini watu hawa na kuwakopesha wakiwaamini kwamba baada ya muda fedha zao zitarejeshwa...

Hawa watu hawana Aibu wala utu kwenye suala la fedha!

Wa kwanza ni mzazi wako

Screenshot_20261026-120227.jpg


Ushauri wangu

Njia pekeeya kumkopesha mtu mmojawapo aliyeko kwenye list hii, mpe kiasi kidogo ambacho unajua kisiporudi hautaumia.

Zingatia kabisa mikopo huua urafiki, undugu na ujamaa
 
Fikiria maumivu ya kurejesha kiwango kikubwa cha fedha kiasi hiki kwa sababu tu ya kumhurumia mzazi wako
Screenshot_20261026-120159.jpg
 
Kweli kabisa.
Nimemkopesha mtu mwaka umepita, nikipiga simu hapokei, sms hajibu na view tu status zake.
Inshort hatuna mawasiliano kama ilivyokuwa awali kabla ya kumkopesha.

Kwasasa Nmb,crdb etc wananisaidia kukopesha mi nimepumzika.
 
Chunguza vizuri sana..

Watu wengi sana wanalia fedha zao kudhulumika baada ya kuwaamini watu hawa na kuwakopesha wakiwaamini kwamba baada ya muda fedha zao zitarejeshwa...

Hawa watu hawana Aibu wala utu kwenye suala la fedha!

Wa kwanza ni mzazi wako

View attachment 3698905

Ushauri wangu

Njia pekeeya kumkopesha mtu mmojawapo aliyeko kwenye list hii, mpe kiasi kidogo ambacho unajua kisiporudi hautaumia.

Zingatia kabisa mikopo huua urafiki, undugu na ujamaa
Nimejifunza aisee ,kuna sehemu kibao wanakopesha kwa riba ,waende huko wakachukue.

Ukimkopesha mtu fedha lazima akurushe ,kuna jirani yangu alinikopa pesa mpaka leo hajarudisha ,inaelekea mwaka wa tatu huu na kila siku naonana naye na wala hata hakumbushii.
 
Back
Top Bottom