Vijana 125 watelekezwa Singida baada ya kuahidiwa kazi za Q NET licha ya kutozwa kiasi cha fedha

TheCrocodile

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2021
Posts
1,864
Reaction score
5,254
Serikali wilayani Singida imewataka vijana wanaojihusisha na biashara ya Q-NET kuacha shughuli hiyo na kurejea makwao, kufuatia tuhuma za kulaghaiwa kwa ahadi za kupata malipo makubwa yasiyoendana na uhalisia.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, baada ya vijana takribani 125 kutoka mikoa 11 nchini kutiwa mbaroni kwa tuhuma zinazohusiana na shughuli hizo.

Gondwe amesema vijana hao wanaishi kwa makundi ya watu 30 hadi 50 katika nyumba moja ya kupanga.

Amewataka kurejea makwao ndani ya saa 24, huku akiliagiza Jeshi la Polisi kuwashikilia viongozi wa shughuli hizo na kuwachukulia hatua stahiki ili kuzuia vijana wengine kushawishiwa kujiunga.

Kwa upande wao, baadhi ya vijana hao wamesema walijiunga na shughuli hizo baada ya kushawishiwa na marafiki zao.

Wamesema baada ya kufika Singida, wamekuwa wakipatiwa mafunzo ya biashara ya mitishamba bila kupata malipo, huku wakitakiwa kuomba fedha kwa wazazi wao ili kuendelea na mafunzo hayo kwa ahadi ya kulipwa baadaye.

View: https://www.facebook.com/share/v/19xtjV692F/
 
Futuhiiiiiiii....... Ndiyo, ni Futuhi
 
Halafu,
utakuta na wengine hapo ni wadau wa JF kabisa na wanajua fika khabari za utapeli wa Q-NET licha ya kuelezwa, kutahadharishwa na kuonywa vya kutosha humu jukwaani mara nyingi na kwa kirefu sana.

ama kwa hakika,
wajinga ndio waliwao,

Lakini pia,
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, ni neno la kweli kabisa la bibilia 🐒
 
DC alitakiwa kuwatandika viboko hao vijana malofa wasio na akili. Na hapo ukute wengine wana smartphones.
 
Halafu,
utakuta na wengine hapo ni wadau wa JF kabisa na wanajua fika khabari za utapeli wa Q-NET licha ya kuelezwa, kutahadharishwa na kuonywa vya kutosha humu jukwaani mara nyingi na kwa kirefu sana.

ama kwa hakika,
wajinga ndio waliwao,

Lakini pia,
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, ni neno la kweli kabisa la bibilia 🐒
Inasikitisha sana aisee. Idadi ya wajinga nchini ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom