Swali gani la darasani ukiulizwa hata ukiwa umeamka usingizini huwezi kukosa?

Swali gani la darasani ukiulizwa hata ukiwa umeamka usingizini huwezi kukosa?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Swali gani la darasani ukilizwa hata ukiwa usingizini huwezi kukosa hata ukiwa mzee?
 
Law of flotation & Archimedes principle 🙌🏿
 
Elimu ya mkoloni useless kabisaa nilifaulu masomo ya sayansi ndoto kua pilot, aisee au basi.
 
Back
Top Bottom