Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhusu hoja hiyo:
MAJIBU YA MWAUWASA...
Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza katika eneo lako, eneo hilo limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao inavyotekelezwa, wakati mwingine changamoto katika miundombinu binafsi ya Mteja hujitokeza na kusababisha akose huduma.
Tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0800110023 Bure ili tukufikie kwa ufuatiliaji wa karibu.